Kusema kweli halmashauri zetu zina ubabaishaji mkubwa kwenye tender
Tender za institutions za serikali...zinafanywa kwa kujuana n.a. kupendeleana. Takukuru wajipange sana eneo hilo ili haki itendekeNormal trend - year in, year out. Nadhani hata CAG keshachoka kuandika kwenye report zake
Who is that barafu? Songwe kuna mmoja amepewa miezi ajirekebishe.
Kusema kweli halmashauri zetu zina ubabaishaji mkubwa kwenye tender na manunuzi ya serikali. Watu wamejisahau sana. Wanakula bila woga hata visivyo vyakwao
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa kiazi tuSembushe Tundu Lissu anayetukana watu Hovyo!
Kuteuliwa ni kitu tofauti na kufanya unachojisikia kufanya ni kitu kingine. Labda kuwe na ushahidi tofautiHao ma DED si wateula wa mkuu!? Wanapata wapi ujasiri wa kuiba? Au tuseme wsteuliwa na mteuaji ni wale wale??
Kama wanaonewa au kazi haiwezekani, wanachokomaa nacho ni nini?Serikali ya uonevu tu hii. Ni kweli wapo watu walioiba, washughulikiwe. Lkn maamuzi ya kutafta sifa siyo kabisa.
Hivi Maja anaujua halimashauri zimechoka, kiasi kwamba hata hawana uwezo wa kutengeneza magari ya halimashauri?
Hivi anajua kwa sasa gari za halimashauri hata tair zinazofungwa kwenye magari ni 2nd to 3rd hand? Yaani mpaka wenye nazo wavue ili wewe ununue tairi la tsh.20,000/- unaweka kwenye gari la serikali?
Hivi anajua kuwa service na matengenezo yote yamebaki ni mzigo wa madereva ambao wanawajibika kutengeneza ili wawe barabarani, maana kama gari lako ni bovu, huna safari yoyote?
Hivi unajua madereva wanawajibika kuchukua sehemu ya mishahara yao au posho kukarabati magari hayo?
Wacheni uonevu, toeni pesa watu wafanye kazi kwa kujiamini, siyo kutishiana kutumbuana tu
Sent using Jamii Forums mobile app