Waziri Mkuu Amesema Leo Bungeni kuwa ni Sahihi Watoto wa Shule kutumiwa na CCM kwenye shughuli za Ki

ndio maana tunasema hii takataka ya katiba ya ma ccm lazima tuikatae
 
Mimi nadhani nyinyi ndo sio wazima kwasababu mngekuwa wazima msingewachosha watoto wa shule ili muonekane mko wengi. Kuonyesha kuwa hamna akili kabisa siku moja kwenye kampeni zenu za serikali za mitaa kigamboni huku somangira mlikuwa mnafanya kama mliofanya songea yakujaza hadi wanafunzi wa shule na kusomba watu, Naomba wauliuze viongozi wako kilichotokea ni nini. MZIKI WA UKAWA HAMUUWEZI UKIAMUA KUTUMIA WANAFUNZI WA SHULE MTAANDIKA WARAKA MAMBULULA NYIE. kweli ccm ni Janga la Taifa pamoja na Nyani wao
siyo kila aliyevaa nguo ni mzima hata mleta mada nashindwa kumwelewa kama ni mzima au la!
 
Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda amesema kuwa ni halali na ni sahihi kutumia wanafunzi w shule za msingi na sekondari
(watoto wa shule) katika shughuli za kisiasa.

Pinda ametoa kauli hiyo katika kipindi cha Maswali kwa Waziri Mkuu wakati akijibu swali ya mbunge wa viti maalum CHADEMA na Waziri kivuli wa Elimu Suzan Lymo aliyetaka kauli ya serikali kuhusiana na CCM kuwatumia wanafunzi wa shule za msingi katika sherehe za chama hicho zilizofanyika Februari 1, 2015 mjini Songea.

Akijibu swali hilo, Pinda amesema huo ni utaratibu halali wa Chama cha Mapinduzi ambao unaendena na mfumo wa uendeshaji wa chama hicho unaoanzia katika ngazi za chini kabisa.

Amesema 'Mtoto wa Nyoka ni Nyoka' hivyo watoto wanaotumika katika sherehe hizo, wazazi wao pia ni wanachama wa CCM, kwahiyo watoto hao wanapata mafunzo na malezi ya CCM kutoka kwa wazazi wao.

Amesema kuwatumia watoto hao hakuna madhara yoyote kwao kwani umri wao hauwaruhusu kufikiria masuala ya kisiasa.
"….Ni halali kwa kuwa wale ni watoto ambao bado hawajawa na uelewa wa masuala ya siasa wanachofurahia pale ni ile Parade tu tena ilipendeza kweli kwa sisi tuliokuwepo tulifurahia sana……Nimesema hili suala ni utaratibu wa CCM hakuna haja ya kubishana hapa……" Amesema Pinda.

Aidha mbunge Moses machali ameomba mwongozo akidai kuwa ana barua inayoonesha Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma akiwalazimisha wanafunzi wa shule ya Songea Boys kuvaa sare na CCM na kwenda kwenye sherehe hizo, ambapo ametaka Waziri Mkuu afute kauli yake.

Akijibu mwongozo huo, Spika Makinda amesema kuwa hawezi kumlazimisha Waziri Mkuu kufuta kauli yake.

SWALI NI JE MBONA UPINZANI UKIFANYA HIVYO INAKUWA NONGWA?

Kuwa na watawala kama Pinda ni janga kuu kwa Taifa; kauli zake zinatia kinyaa na machukizo mabaya sana. Ashukuru yuko kwenye kundi la viongozi dhaifu na wa hovyo vinginevyo angekuwa kijijini kwao akilima mahindi na kufuga nyuki.
 
Usishangae Mkuu, ni jambo gani Pinda kashawahi kufanya maamuzi yenye akili, kama unamjua asikupe shida kabisa..... tukizidi kumuuliza kwa sana atalia bure bora tuliache tu hili swala....
 
Kuwa na watawala kama Pinda ni janga kuu kwa Taifa; kauli zake zinatia kinyaa na machukizo mabaya sana. Ashukuru yuko kwenye kundi la viongozi dhaifu na wa hovyo vinginevyo angekuwa kijijini kwao akilima mahindi na kufuga nyuki.
Hahahahah well said.... kauli za huyu jamaa ni machukizo kweli kweli......... hana analoliweza zaidi ya kumwaga machozi
 
Pinda ni zimwi, nyie hamjui tu....... mbumbu kabisaaaaaa! Sura mbaya, roho mbaya, kauli mbaya uongozi mbaya.. Mkimchagua eti awe RAIS wa JMT nahama nchi.....!
 
muda sio mrefu UKAWA tutaadhimisha kumbukumbu ya tukio la mauji ya bomu la SOWETO Arusha.
Tutachukua watoto wa chekechea na darasa la kwanza wataongoza maandamano haya Tanzania nzima.
 
Back
Top Bottom