Waziri Mkuu afukuzwa kutoka mkutano baada ya kujaribu kumtunishia misuli mwenyekiti wa AU

Heshima yako Kabaridi,

....mbona hii habari ni ya kitambo tu sana? Ama nd'o mtindo wako wa siku hizi kufukua nyuzi za tenee?...:biggrin:

...Anyway Agwambo had the last laugh on this matter...Gbagbo wa KO'd and is now a resident at The Hague na Ping
nadhani yupo yupo tu. Meanwhile Raila remains the PM of Kenya...au sio?

Swadaktaa.

Sio tu Agwambo ni PM wa Kenya vile vile ni Jembe la ukweli
 
Interestingly, the same strategy that ODM is using is the same strategy that the Nazi party of 1924 was using pre-worldwar II. But there are serious questions whether the leader can be trusted, because many accusations levelled against him is quickly swept under the rag by media outlets that are patisan to their party campaigns.
 
Namkubali sana agwambo,i wish angekuwa pm wetu hapa tz.mbona mawaziri wangenyooka.

Kama Raila angekuwa PM tz, angekuwa wa kushikwa na high blood pressure kila mara. kwa tz, mawaziri hawana nidhamu kuwafanya kumtusi rais wao kuwa mdhaifu. Ataeweza Raila?
 
Back
Top Bottom