Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 18,296
- 33,908
Katiba ya sasa ilitungwa kulenga ukuu wa chama, lakini ndani mwake inazitambua Serikali za mitaa kama mamlaka kamili na wala haziko chini ya mamlaka ya Serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania. Lakini bunge letu limetunga sheria nyingi sana kwa lengo la kuingilia uhuru wa Serikali za mitaa, sheria mojawapo ni ile inayosema Waziri mwenye dhamana anayo mamlaka ya kuteua Madiwani wawili kuingia kwenye Halmashauri yoyote hapa Tanganyika (Sheria hii haiihusu Zanzibar).
Sijui kitatokea nini Kama Waziri mwenye dhamana amefuta chaguzi hizo kwa lengo la kuwateua hao madiwani ili kupunguza pengo liliopo la madiwani wa UKAWA na chama chake.
Sijui kitatokea nini Kama Waziri mwenye dhamana amefuta chaguzi hizo kwa lengo la kuwateua hao madiwani ili kupunguza pengo liliopo la madiwani wa UKAWA na chama chake.