labda kwenye vyumba vya madaraKwa nyumba zipi zilizipo mashuleni?
Hii serikali ya milipuko kila siku vituko.
Huyu jamaa naye inaonyesha ni msumbufu.Mbona nae kila siku Dar na keshahamia Dom
Kukaa karibu Na kanisa au msikiti haimaanishi utaenda kuswali au kusali,tena unaweza kuwa mpagani zaidi.
Labda nyumba za karibu hazina miundombinu yote mizur, maji umeme Na muonekano wenyewe.
Labda pia kunachangoto zinhine zasingi ambazo hatuzifaaam.
Wanachi walivyo mambulula yanashangilia tu.
Wewe si kada ?naona faru john anapotezewa kimya kimya!
Alizungumzia sehemu moja. Hakutoa amri kwamba waalimu kote nchini wahamie mashuleni. Be fair in your criticism.
Wewe ulitaka kila anapokwenda azungumzie faru john tu?naona faru john anapotezewa kimya kimya!