Wanashangilia kwa sab wanajua nyumba hazina tabu yoyote wewe hujui unaleta upinzani usio na tija wakati eneo husika hulijui unaleta labda labda zako hapa hujui kuwa waziri mkuu aliwahi kuwa mwalimu anajua anachokizungumza.Kukaa karibu Na kanisa au msikiti haimaanishi utaenda kuswali au kusali,tena unaweza kuwa mpagani zaidi.
Labda nyumba za karibu hazina miundombinu yote mizur, maji umeme Na muonekano wenyewe.
Labda pia kunachangoto zinhine zasingi ambazo hatuzifaaam.
Wanachi walivyo mambulula yanashangilia tu.