Lusekelo Burton
Member
- Sep 15, 2017
- 38
- 18
Inaboa sana hii serikali
Mbwembwe za serikali iliyoshindwa, wacha waendelee kunyewa na albadri!!!
Tukubali kwamba kuna vituko. Kuna mtu tuko naye ofisini, ukiangalia mwaka aliomaliza kidato cha 4 ukilinganisha na umri wake wa sasa, inaonyesha alianza darasa la kwanza akiwa na mwaka 1. akamaliza darasa la saba akiwa na umri wa miaka 7. Form 4 akiwa na miaka 14, nk. haya hayawezekani kabisa!!Wamefoji umri? Huko tunakoenda watahakiki na waliofoji barua za kazi
Inaweza kupandishwa na isiwepo.Safari hii mishahara itapandishwa 2020!! Kila Leo jambo jipya.
06.10.1948 mpaka leo, anadai ndiyo kijana bado!Mkuchika wewe saiv ulipaswa kuwa unalea wajukuu
2019 Utaishi kwa raha ya ajabu utasahauHivi 2020 watasimama jukwaani kuomba kura kwa ahadi gani..!??
Waziri mpya Wizara ya Utumishi Mh.Huruma Mkuchika amenena kuwa kwa sasa hawatapandisha mishahara ya watumishi wa umma mpaka uhakiki ukamilike.
Mkuchika amedai kwamba kuna watumishi 40, 000 wamefoji umri kwa hiyo watafanya uhakiki kwanza na kuchukua hatua kabla ya kupandisha mishahara

Wazee wapo ndani ya chama chetu nje ya hapo hutambuliki.BADO HAWAJAACHA UCHAWI WAO.KAMA UZEE NI DAWA KWA HUYU NI SUMU.
Ukisema ngonjera unakosea, sema ameanza kutekeleza maagizo.Naye ameanza ngonjera