Waziri Mkubwa

Haika

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,347
560
Jamani eti nyepesi ni kuwa Waziri mpya mkubwa ni mjane na mke alietambulishwa na waandishi si mke wake wa ndoa?
Kama ni kweli, hivi ni lazima kuwa na spouse ukiwa na wadhifa kama ule?
Manake nasikia kuna watu wamelizwa huko Dom, hawajui jinsi ya kuanza maisha baada ya sera mpya wa Waziri huyo.

(I hope it is not true)
 
Karibu jamvini Haika, Ah huyo ndio mke wake tena, wakina mama wengine walie tu.... huwezi jua ndoa nyingine zinafungwa bila kitchen party, send offs, wala matarumbeta!!
 
Kama kamuonyesha kwa watanzania kuwa huyo ndio mkewe hakuna tatizo maadamu sisi ni mashuhuda. Tatizo litakuwa pale akituonyesha mwingineyo. Walioachwa solemba ndiyo hivyo tena waanze kutafuta wengine, si Mibunge mingi tu pale Dodoma.
 
Jamani eti nyepesi ni kuwa Waziri mpya mkubwa ni mjane na mke alietambulishwa na waandishi si mke wake wa ndoa?
Kama ni kweli, hivi ni lazima kuwa na spouse ukiwa na wadhifa kama ule?
Manake nasikia kuna watu wamelizwa huko Dom, hawajui jinsi ya kuanza maisha baada ya sera mpya wa Waziri huyo.

(I hope it is not true)

Karibu sana JF, Haika.
 
Thanks guys,
actually i am not so new, I just changed my user name.
nadhani itakuwa vizuri kama ni mkewe. natumani hizo rumours zitaisha mara moja, hazipendezi, na hazina maana.
just another block infront of his hard work ahead.
 
HAika,
Mbona unaanza kuipooza hii ishu, au una mahusiano (NPI - no pun intended) na huyo aliyebahatisha hiyo tender ya kumkamua Mh.Pinda? Nafikiri sio vibaya wananchi wakapata picha ya WM wao ili hata wakimkosoa wajue weakness zake ziko wapi.
 
Back
Top Bottom