Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 8,935
- 6,844
Na wanafunzi wanakatazwa kuitumia kwa sababu wataiharibu!Mkuu inatakiwa kwanza utashi,kuna chuo kimmoja cha umma nchini kilinunua CNC machine yaani Computer Numerical Controlled machine ambabo lathe au milling machines zaweza kuchonga vipuri kutumia program za computer .
Lakini cha ajabu wameifunika isipate vumbi tu kwa zaidi ya miaka 6 hawaitumii kabisa.Ila kwenye ukaguzi wa vifaa vya kufundishia inakaguliwa tu.
Toka aondoke Mwalimu Julius K.Nyerere vyuo na taasisi za umma zitoazo elimu ya kiufundi zipo ICU.
Hivi unajifunza welding skills kwa week mmoja eti kubana matumizi, ukimaliza chuo uwasimamie G6 First Class Welders ?
Amandla...