Waziri Mchengelwa, watu wanakuchukulia poa! Hebu onesheni makucha

Ngungenge

JF-Expert Member
Jun 11, 2016
2,839
3,153
Tayari mezani unazo ripoti kazi nne ambazo TAKUKURU wanatakiwa wafanye kazi na tuone watu wamewajibishwa

1. Ripoti ya Wizi wa Madini ya Tanzanite Mererani
2. Ripoti ya Ufisadi Bandari
3. Ripoti ya CAG
4. Ripoti ya BOT

Sasa ni wakati wa wananchi kusikia nani na nani walihusika na warudishe fedha za Umma

Hii ni Serikali ya Awamu ya Sita
Rais Samia
#KAZI IENDELEE
 
Pengine tumpe mda bado anajiuliza atoke vipi kama Bwana misosi,au pengine ni kama Tigo live it love it, au kama voda yajayo yanafurahisha.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom