Waziri, Mbunge, RC au DC mwanamke mwenye mimba

Brother Kaka

Member
Jun 11, 2013
90
54
Wadau sina kumbukumbu ya waziri au mbunge au RC au DC au kiongozi yoyote mwandamizi ambaye ni mwanamke anabeba mimba na kujifungua akiwa kazini. Inamaa hufunga kizazi au hawana wenza au hukaa mbali na wenza wao? Mwenye kumbukumbu atujuze
 
Pole, ila sidhani ni muhimu kujua kwani hayo ni maisha binafsi ya mtu yasiyoingiliana na kutangazwa kwa jamii. Na hata ikitokea ni mjamzito akiwa kazini anaruhusiwa kuchukua likizo ya uzazi 90days formally na ikiwa hali bado ataomba ruhusa. Nikuulize tu mleta maada, Je, katika mangira ya kazi au shule wahusika huwaonaje?
 
si vibaya kujua,hawa huwa hawaolewi bali huwa wana mahusiano na wanaume ambao kuzaa kwao ni mtihani
 
Pole, ila sidhani ni muhimu kujua kwani hayo ni maisha binafsi ya mtu yasiyoingiliana na kutangazwa kwa jamii. Na hata ikitokea ni mjamzito akiwa kazini anaruhusiwa kuchukua likizo ya uzazi 90days formally na ikiwa hali bado ataomba ruhusa. Nikuulize tu mleta maada, Je, katika mangira ya kazi au shule wahusika huwaonaje?

ELX. Katika mazingira ya shule au kazini mimba ziko kama kawa na zinaonekana tu. Lakini kwa hao viongozi senior sina kumbukumbu.
 
Wadau sina kumbukumbu ya waziri au mbunge au RC au DC au kiongozi yoyote mwandamizi ambaye ni mwanamke anabeba mimba na kujifungua akiwa kazini. Inamaa hufunga kizazi au hawana wenza au hukaa mbali na wenza wao? Mwenye kumbukumbu atujuze

wengi wao mpaka kufikia vyeo hivyo umri wa kuzaa unakuwa ushapita.....kama wana watoto wengi wako chuo
 
swali la mtoa mada ni kama jepesi lakini ni kweli nami nimepata kujiuliza.mfano katika umri wangu sijaona mke wa rais akiwa mjamzito na kujifungua akiwa ikulu. Hii inatokeaje?
 
Back
Top Bottom