Barbarosa JF-Expert Member Apr 16, 2015 22,584 27,786 Jul 20, 2016 #1 Mmoja kati ya Mawaziri ninaowakubali sana Makame Mbarawa (PhD) akiwa kazini site! Full Upendo kwa watu wetu! Br. ya Njombe -Makete (km 109) kujengwa na kwa kiwango cha lami! Picha zote kwa hisani ya Blogu ya Michuzi!
Mmoja kati ya Mawaziri ninaowakubali sana Makame Mbarawa (PhD) akiwa kazini site! Full Upendo kwa watu wetu! Br. ya Njombe -Makete (km 109) kujengwa na kwa kiwango cha lami! Picha zote kwa hisani ya Blogu ya Michuzi!
Jerhy JF-Expert Member Jul 11, 2013 3,133 995 Jul 20, 2016 #2 Ule ulanzi vipi ndio unafyekwa road lipite jameni