Waziri Mbarawa kumuwakilisha Rais Magufuli katika mkutano wa kimataifa wa Usafirishaji Duniani

Don san tan

JF-Expert Member
May 23, 2015
562
433
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa atamuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika mkutano wa kimataifa wa Usafirishaji Duniani utakaofanyika katika mji wa Ashgabat nchini Turkemistan kuanzia tarehe 26-27 Novemba, 2016.

Ngoja nichukue kigoda nikae karibu na Jamvi hili.
 
nilichogundua furaha yako ni kuona rais wako hatoki nje ya bara yaani mnashinda wite mkipika na kupaku chakula wote
 
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa atamuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika mkutano wa kimataifa wa Usafirishaji Duniani utakaofanyika katika mji wa Ashgabat nchini Turkemistan kuanzia tarehe 26-27 Novemba, 2016.
Nampongeza pia kwa kumtuma Waziri mwenye dhamana ili amuwakilishe huko. Hiyo italeta tija zaidi kuliko yeye angekwenda na kuhudhuria.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom