Waziri Mbalawa azidi kukalia kuti kavu wakurugenzi 4 alioteua watimuliwa bandari (TPA)

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
waziri wa uchukuzi bado zimwi la kauli ya JPM kuwa anatafuta mbadala atakaye endesha wizara aliyokuwa akiiongoza; limezidi kumwendea kombo baada ya wateule wa Raisi kuanza kuwafungashia viago wateule wa waziri mbalawa. Taarifa za ndani zinasema DG wa TPA.
kawaondoa wakurugenzi wa waziri na kuleta wake wapya bila ya waziri kuhusishwa

mkurugenzi Rasilimali watu
mkurugenzi wa manunuzi na ugavi
mkurugenzi wa ICT
mkurugenzi wa Fedha.
Inasemekana nafasi hizo zimeshajazwa
IMG_20161130_050901.jpg
 
Ziliuzwa?
 
Back
Top Bottom