Waziri Mambo ya Nje wa Uganda avaa barakoa ya Tshs2.4 million

Mtuflani Official

JF-Expert Member
Dec 31, 2019
1,936
4,347
IMG_9644.JPG
 
huku ndiko soon corona itatupeleka.

mask maarufu ya maabara inatakiwa ibadirishwe kila baada ya masaa 4,tsh 1000 kila moja.kwa siku unatakiwa angalau uwe nazo 4.

kama kuna moja ya elfu 50 inayoweza kuvaliwa mwezi mmoja itakuwa poa zaidi.barakoa oyeeeee.hiyo ya mh ni zile za VIP.
 
Naiona kama inawaka taa ya njano kwa pembeni. Inawezekana itakuwa ina ventilator

Package:

1. Instant Covid-19 & corona virus detection
2. In-built nano-camera, 500 megapixel
3. AC supply
4. Solar charging power source
5. Self-cleaner/auto-disinfectant
6. Mouth piece and speaker for sound applification and modulation
7. Digital toothbrush and tooth paste
8. Bluetooth application
9. 16 GB RAM & 156 internal memory
10. LED light for night vision
11. And many many more :)
 
Back
Top Bottom