Waziri malima aukana usilamu na kumpokea yesu!!

Huyu kijana babake alikuwa ustaadh na ndiye aliye anzisha chama cha Narea
 
gazeti la mwanahalisi limekuwa biblia? mbona mnaliamini sana kwa kila wanachoandika!
 
Huyu kijana babake alikuwa ustaadh na ndiye aliye anzisha chama cha Narea

malizia alikufaje ujue damu inafwata mkondo!!sirii anaijua jk na mkapa
unakumbuka alifia wapi??na alienda kufwataa nini??
 
Nilihisi nikikutaja wewe mwenyewe nitaakuwa sitendei haki mababu zako walioleta gazeti la uhuru na leo wanashhabiki miaka 50myaujambazi
 
Nahisi hizi siku za mwisho,

nimesoma mwaana halisi mh malima katika moja ya safari zake ambazo lengo ni kusaini dili chafu la kuwaleta wasouth africa kuchuma copper huku Tanzania akishirikiana na mh chikawe aliamua kujiita Joseph Ernest Malima

Habari zaidi ukisoma utaona mh malima alipokelewa na bango limeandikwa joseph ernest malima huko soouth afrika na kupelekwa kwenye hotel moja ambayo amelipiwa na hao wanaokuja kuchimba copper..

Habari zaidi zinasema mh huyu alikuwa akilipwa hela za kitanzania zaidi ya laki tano'akiwa huko na hao wahuni wanaokuja tanzania ,,na mbaya zaidi ukiona formu aliojaza hotelini imeonyeshwa kwenye gazeti imenitia nguvu sasa malima kilichobaki ni kumpokea Yesu na kuwa kama bwana na mwokozi wa maisha yake

Malima karibu sana kwa Yesu Kristo aliye hai.
 
Najiuliz a kama ameweza kukana dini yake na jina lake kwa mungun asiemwona vingapoi amemkana mkewe kama sio kumsaliti ndio maana mkewangu anasemaga hny tufurahi haya maisha tulionayo huko juu balaa zaidi watu kama hawa wanatishia hata ndoa zetu siku riziwani kamwambia baba mkumbuke didy kwenye ufalme wako mzee tunaachika wale watoto tunawapeleka wapi swalasi kutunza swala ni kutunza ndoa...embu jiheshimu adam hakika dunia nzima kama si watanzania wameshtuka jua linasomwa kila sehemu
 
Tufahamishe kidogo majina yana uhusiano na dini?[/QUOTE

MKUU UNA HARAKA KWELI KAMA KALE KAGOLIM CHAMASHARIKI UWANAJA WA BIBI KESHO ILA KWAKUKUSAIDIA
UNAJUA KULE SINZA UNANDIKAGA MAJINA YA FURGASON MOHMD NA MENGINEYO ILA FORM ZA WAHESHIMIWA UNAULIZWA NA DINI GANI UKITOKA NJE YA NCHI SIJALALA ZA HAPA DA R KUJUA ZIKOJE SO UTAONA LIVE DINI MKRISTO MI NITATARAJI KABLA YA SAA KUMINAMBILI KESHO UTAKUWA UMEOKOKA NA KUOMBA WAKUONGOZE SALA YA TOBA NAOMBA NI PM HATA SAANANEUKIAMUA KUOKOKA NTAFANYA HIYO KAZI NIKUONE MBINGUNI NA SIO KWENYE MAJINI MEMA NA MAJINI MABAYA WEE NANI KAKWAMBIA HA,MAAA KIMBIA NJOOOO KWA JINA LA YESU ALIE HAI
 
mimi naona dini sijui nini haina mashiko. cha muhimu CCM inaendelea kutuibia. CCM ndo adui yetu namba moja! soon watasheherekea miaka 50 ya kula na kipofu bila bugudha! huku wamefanikiwa kututwisha zigo la dini tunaendelea kubishana yupi yu sahihi, CCM wanagawana keki ya taifa kiulaiiiiiiiiini.
 
weka fomu hiyo ya hotel mkuu tuione
Nahisi hizi siku za mwisho,

nimesoma mwaana halisi mh malima katika moja ya safari zake ambazo lengo ni kusaini dili chafu la kuwaleta wasouth africa kuchuma copper huku Tanzania akishirikiana na mh chikawe aliamua kujiita Joseph Ernest Malima

Habari zaidi ukisoma utaona mh malima alipokelewa na bango limeandikwa joseph ernest malima huko soouth afrika na kupelekwa kwenye hotel moja ambayo amelipiwa na hao wanaokuja kuchimba copper..

Habari zaidi zinasema mh huyu alikuwa akilipwa hela za kitanzania zaidi ya laki tano'akiwa huko na hao wahuni wanaokuja tanzania ,,na mbaya zaidi ukiona formu aliojaza hotelini imeonyeshwa kwenye gazeti imenitia nguvu sasa malima kilichobaki ni kumpokea Yesu na kuwa kama bwana na mwokozi wa maisha yake
 
Nimeshindwa kuelewa kama ulikusudia kutufahamisha ya Malima kubadili dini au kuhusu Malima na uchimbaji wa shaba.
Kuhusu la pili, ndio linalotuhusu Watanzania. La kwanza, katiba yetu inaturuhusu. Kila Mtanzania ana haki ya kufuata dini anayotaka.
 
Amebadili dini kwa sababu ya kujiita joseph enrnest..kwa hiyo anasali kanisa gani sasa?.. Dini sio majina. Mtu anaweza kuwa na sababu ya kubadili majina yake na hata umri wake ili afanikishe analotaka. Wangapi humu ndani ya jf waliobadili majina yao na kuyaacha yale waliyopewa na wazazi wao?? ''pdidy" hili ndio jina lako halisi? au tuamini umeshabadili uraia na kuwa mmarekani kama puffdady. Kumbuka haya ni majina tu.
 
Kubadilisha jina sio kumpokea Yesu kristo. Mtu anayempokea Yesu anatubu dhambi zake kwa kumaanisha kuziacha kabisa na anaokoka. Maisha ya mtu aliyempokea Yesu yanakuwa tofauti na yale ya mwanzo, anakuwa hapendi kufanya uovu tena na Mungu nampa uwezo mtu huyu wa kluwa mbali na dhambi. Kama Malima alikwenda huko kwa lengo la kufanya ufisadi na akabadilisha jina kwa lengo hilo hilo ni wazi kabisa kwamba bado hajampokea Yesu Kristo.
 
Nahisi hizi siku za mwisho,

nimesoma mwaana halisi mh malima katika moja ya safari zake ambazo lengo ni kusaini dili chafu la kuwaleta wasouth africa kuchuma copper huku Tanzania akishirikiana na mh chikawe aliamua kujiita Joseph Ernest Malima

Habari zaidi ukisoma utaona mh malima alipokelewa na bango limeandikwa joseph ernest malima huko soouth afrika na kupelekwa kwenye hotel moja ambayo amelipiwa na hao wanaokuja kuchimba copper..

Habari zaidi zinasema mh huyu alikuwa akilipwa hela za kitanzania zaidi ya laki tano'akiwa huko na hao wahuni wanaokuja tanzania ,,na mbaya zaidi ukiona formu aliojaza hotelini imeonyeshwa kwenye gazeti imenitia nguvu sasa malima kilichobaki ni kumpokea Yesu na kuwa kama bwana na mwokozi wa maisha yake

Kama kweli basi nae kajivua gamba. lakini mbona imekaa kama udaku.

Please ichunguze
 
Siunaju sheria ya uislam kuhusu ufisadi? labda kakimbilia jina hilo anajua hakuna sheria inayohusu ufisadi huko
 
amebadili dini kwa sababu ya kujiita joseph enrnest..kwa hiyo anasali kanisa gani sasa?.. Dini sio majina. Mtu anaweza kuwa na sababu ya kubadili majina yake na hata umri wake ili afanikishe analotaka. Wangapi humu ndani ya jf waliobadili majina yao na kuyaacha yale waliyopewa na wazazi wao?? ''pdidy" hili ndio jina lako halisi? Au tuamini umeshabadili uraia na kuwa mmarekani kama puffdady. Kumbuka haya ni majina tu.

swala sip kubadili dinitu swala kwa nini anatumia majinaya kikristo kwenye dili zake chafu asibaki na majina yake
mmmmmh ndio maana nasema nasemaa nasemaaa kuna mawaziri wanaitajikuangaliwa shule zao..sio hivi hivi
 
Back
Top Bottom