Waziri malima aukana usilamu na kumpokea yesu!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri malima aukana usilamu na kumpokea yesu!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Aug 11, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,061
  Likes Received: 5,552
  Trophy Points: 280
  Nahisi hizi siku za mwisho,

  nimesoma mwaana halisi mh malima katika moja ya safari zake ambazo lengo ni kusaini dili chafu la kuwaleta wasouth africa kuchuma copper huku Tanzania akishirikiana na mh chikawe aliamua kujiita Joseph Ernest Malima

  Habari zaidi ukisoma utaona mh malima alipokelewa na bango limeandikwa joseph ernest malima huko soouth afrika na kupelekwa kwenye hotel moja ambayo amelipiwa na hao wanaokuja kuchimba copper..

  Habari zaidi zinasema mh huyu alikuwa akilipwa hela za kitanzania zaidi ya laki tano'akiwa huko na hao wahuni wanaokuja tanzania ,,na mbaya zaidi ukiona formu aliojaza hotelini imeonyeshwa kwenye gazeti imenitia nguvu sasa malima kilichobaki ni kumpokea Yesu na kuwa kama bwana na mwokozi wa maisha yake
   
 2. denoo49

  denoo49 JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 5,647
  Likes Received: 5,237
  Trophy Points: 280
  Tupia humu huo ushahidi, na sio story za magazeti ya siasa
   
 3. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Habari ndio hiyo hakuna siasa hapo.
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,061
  Likes Received: 5,552
  Trophy Points: 280
  Magazeti ya SIasa wakati wamekweka mbele na formu aliojaza mkuu kwani Aliekwambia Ukachane PaSport ya Tanzania ni nani we kula unayoyaona hapa ,kama vipi subiri kesho nikutumie mkuu nikifika ofisini!!
   
 5. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,391
  Trophy Points: 280
  Alibadili jina ili watz wasije mshtaki kwa mkataba feki!
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Aug 11, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,061
  Likes Received: 5,552
  Trophy Points: 280
  mkuu ukiisoma inatia aibu kabisa kabisa na huku watu wengine tukifurahia huyu jamaa amebakiza kumpokea yesu tu asafishwe zambi zake ikiwemo na hili dili chafu ,na nakwambia kama alivyoandika joseph m naenda maombinimungu amgeuze na dili lake chafu na akifanikiwa utakuja kuniambia tumechoka mikataba michafu sio kila sehemu tanzania shamba la bibi
  tumechoka natumaini babake mzaziakisikia huko aliko atajiuliza kwa nini akujiita stephano malima mpaka anaondoka
   
 7. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #7
  Aug 11, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  chama tawala hicho!
   
 8. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #8
  Aug 11, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hata mimi nimechungulia hiyo deal,ni kweli.
   
 9. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #9
  Aug 11, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Tufahamishe kidogo majina yana uhusiano na dini?
   
 10. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #10
  Aug 11, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145

  Hiyo pasport iloandikwa Joseph ernest malima aliipata lini na aliipataje?

  Yaleyaleeee
   
 11. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #11
  Aug 11, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,061
  Likes Received: 5,552
  Trophy Points: 280
  Embu mkuu nisaidie haya majina kwa dini yetu mnayaitaje
  joseph--
  ernest--
  hili la malima aliona aibu kubadilisha
   
 12. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #12
  Aug 11, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Chenge, Balali, Mahalu, Mgoja, Mramba, Yona, Liumba, hawa wote wamempokea Yesu.
  Ufisadi hauna uhusiano na dini
   
 13. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #13
  Aug 11, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Hivi mtu akibadili Dini na Jina la baba yake huwa anabadili! This is not Serious.
   
 14. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #14
  Aug 11, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ngoja nikusaidie kidogo majina ya Malima ni majina ya kilugha wanatumia wadengereko na wazaramu wa Mkuranga, kuna kina Malima wengi tu wakiristo kama kafanya ufisadi ni yeye binafsi
   
 15. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #15
  Aug 11, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,816
  Likes Received: 10,106
  Trophy Points: 280
  mkuu umeweka na chumvi kupita kiasi bhana, huo ni uzushii wa CCM kuweka chumvi sisi waelemika hatuko hivyo, mwanahalisi ninayo na nimeisoma ni kweli mshkaji kajitambulisha kwa jina la Johan Ernest Malima
   
 16. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #16
  Aug 11, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  .................. Ungeanzia na ANDREA yule mzee vijicenti !!:horn:
   
 17. BongoLogik

  BongoLogik JF-Expert Member

  #17
  Aug 11, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 261
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kwa kiasi kikubwa yana uhusiano ingawa si lazima
   
 18. M

  Marytina JF-Expert Member

  #18
  Aug 11, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  unaishi dunia gani wewe zoba?
  nenda soma mwanahalisi uone proof
   
 19. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #19
  Aug 11, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  mi nilidhani umemshuhudia kabisa akifanya hivyo!
   
 20. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #20
  Aug 11, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Hii inaitwa twanga kotekote, Serikalini Ufisadi, Polisi Ufisadi, JWTZ Ufisadi sijui Walalahoi tutatokea wapi hapo. Mpaka tukimpata Rais kama Nyerere Watanzania tumeshaumia vibaya mno na choka sana. Uwoga wetu unatugharimu
   
Loading...