Waziri Makamba Ziarani nchini Saudi Arabia

Hao wako mbali wamemalizana adui ujinga maradhi umasikini....sasa wanakimbiza dunia ilipo....kuna steps tunataka kurukia ingawa sio mbaya sana ila tuwe makini kurkia rukia huko.....angalizo tu
 
Huyu failure na Mwizi wa Mitihani Galanos ni kilaza sana
And yet he is ahead of you in everything......fame, status, economic stability and right now, while you are there hiding in your village (which lacks electricity and tarmac road) trying to put a spell, he is in Saudi Arabia trying to do something for you while handsomely paid!
 
Twende tu huko mbele tutakumbushana kilichotokea.
Ugali na bamiya mezani hapa karibuni.
 
Asisahau tu kutuombea tende kwa wingi na nyama za ngamia hata na kanzu na masime ili tufanane nao.
 
Hao wako mbali wamemalizana adui ujinga maradhi umasikini....sasa wanakimbiza dunia ilipo....kuna steps tunataka kurukia ingawa sio mbaya sana ila tuwe makini kurkia rukia huko.....angalizo tu
1635042055185.png

Bado tuko hapa wenzetu walikuwepo karne ya 14
 
Taarifa muhimu kwa Umma: Waziri Makamba Ziarani nchini Saud Arabia

Waziri wa Nishati Mheshimiwa January Makamba yupo Ziarani nchini Saudi Arabia kwa mualiko wa Waziri wa Nishati wa nchi hiyo Abdulaziz Bin Salman Al Saud na atashiriki hafla ya uzinduzi wa "Saud Green Initiative"

Waziri Makamba pia atashiriki kufanya mikutano ya kutangaza fursa za uwekezaji kwenye sekta ya Nishati nchini Tanzania.

KaziIendelee
Mh. Waziri tafadhali tunaomba utuombee tuletewa wakimbizi wa Syria, Afghanistan na vijana magaidi waje watufundishe maisha
 
And yet he is ahead of you in everything......fame, status, economic stability and right now, while you are there hiding in your village (which lacks electricity and tarmac road) trying to put a spell, he is in Saudi Arabia trying to do something for you while handsomely paid!
So what ????
 
Taarifa muhimu kwa Umma: Waziri Makamba Ziarani nchini Saud Arabia

Waziri wa Nishati Mheshimiwa January Makamba yupo Ziarani nchini Saudi Arabia kwa mualiko wa Waziri wa Nishati wa nchi hiyo Abdulaziz Bin Salman Al Saud na atashiriki hafla ya uzinduzi wa "Saud Green Initiative"

Waziri Makamba pia atashiriki kufanya mikutano ya kutangaza fursa za uwekezaji kwenye sekta ya Nishati nchini Tanzania.

KaziIendelee
Wengine tunaogopa asije kua anatafuta wanunuzi wa tanesco. Tatizo huyu kijana anajidai anajua sana asije kutuharibia nchi. Anaonekana anapenda mfumo wa kibwanyenye ili anufaike binafsi.
 
Back
Top Bottom