Waziri Makamba unajua kuwa Kuchelewesha Miradi ya Kimkakati ni Kuchelewesha Mikakati?

Mtanke

JF-Expert Member
Nov 19, 2011
708
1,756
Nilikerwa sana jana na tone yako ambayo iko very smooth tena ukionyesha tabasamu la dharau kwa wabunge ulipokuwa unajustify kucheleweshwa kwa mradi wa Bwawa la Nyerere.

Sasa bana miradi hii ni ya Kimkakati tena Mikakati ya uchumi kwa nchi ya kipato cha Kati. Sasa Mzee Kuchelewesha Miradi hii hata kwa siku moja ni Kuchelewesha Mikakati ya nchi.

JPM alitamka hadharani kabisa kuwa hatakubali kuona mtu yoyote anamchelewesha wala kumkwamisha katika utekelezaji wa miradi hii na ndio maana hata wewe alikutumbua pale mazingira kwa vikwazo vyako ulivyokuwa unaweka.
 
Kama alitamka mwambie amalizie.. Shida iko wapi??
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom