Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 5,171
- 3,893
Bila kujua HR issues zilizopo kwenye hili shirika, hakuna namna kutakuwa na ufumbuzi wa matatizo yaliyopoIt’s just an internal system of sharing information kama vile ilivyo SAGE kwenye accounting, mifumo ya medical system ambayo inatumiwa interproffesional working kila mtu awe kwenye page moja, ardhi, uamiaji and other systems zinazotumiwa for admin purposes for sharing information purposes and improving efficient or continuation of work.
Quality ya mafanikio ya hiyo mifumo ni watu wanaotumia if someone doesn’t record information no one gets it sio mwarobaini kabisa especially when there is no physical evidence to audit the quality of performance.
Ni hivi mie sijui watu inakuwaje wanapanda mpaka kufikia kuwa CEO Tanzania, ila yule mkurugenzi wa TANESCO ukimsikiliza unaona hatoshi he lacks awareness on HR strategies to improve services to begin with; let alone understanding priorities za shirika kwa wateja kipindi hiki.
Ni hivi January na Mwambe wote wamepewa specific tasks na raisi; approach zao zimeonyesha difference in leadership qualities za kufikia azma ya raisi.
Mwambe katumia muda mwingi kujifunza kutoka kwa walioanza kazi, kaelewa technical issues za kazi aliyopewa na kujua hao watu wanafanya kazi vipi kabla ya kuamua anaenda vipi mbele kwa ku analyse speech yake.
January na genge lake wameingia na ujuaji likely to piss off some technocrats ndani ya mashirika yaliyo chini ya wizara na ndani ya wizara. Naona wakasema ngoja tuwaone na ujuaji ndio kinachowakuta sasa wanaenda tu kama headless chicken.