Waziri Makamba, kwenye umeme tunaweza kuwekeza wenyewe, tujikite hapo

Memento

JF-Expert Member
Jun 13, 2021
4,423
9,960
Mimi binafsi ni mfuasi wa ushirikiano na watu wengine, siamini kabisa kwenye kujitenga. Hivyo hatua yoyote inayochukuliwa kuimarisha mahusiano naunga mkono 100%

Ni kweli mahusiano yetu hayakuwa mazuri kwa kupind Cha awamu iliyopita ya yule mtu.

Lakini haimaanishi sasa kila kitu tutegemee wengine, tulishaona pia madhara yake huko siku za nyuma.
Kwenye suala la umeme nimeona mh. Makamba akienda kuzungumza na ubalozi wa US pamoja na ubalozi wa Uholanzi kwa lengo la kusaidia uwekezaji kwenye umeme.

Hapa ndio naona tatizo lipo, ni kweli kabisa kweye umeme hatuwezi kujitegemea wenyewe? Hatuwezi kuzalisha umeme wenyewe?

Bado nashinda kuelewa dhana nzima ya kuomba uwekezaji kwenye umeme ni nini, ni lini kwenye mambo Kama haya tutaacha utegemezi?

Yalishatokea miaka ya nyuma makampuni Kama symbiom na Dowans kuifilisi Tanesco, tunataka tena turudi huko?

Kwanini mikakati isiwe kuifanya Tanesco ijitegemee badala ya kutegemea makampuni ya nje kuja kuwekeza huku yakiishia kuifilisi Tanesco kwa mikataba ya ajabu?

Ninaamini kwenye umeme tunaweza wenyewe Kama watanzania, hivyo kuomba uwekezaji kwa mataifa ya nje sio sahihi.

Kwenye sekta ya uchimbaji gesi nauunga mkono uwekezaji kwa kuwa bado hatupo vizuri eneo hilo, Ila uwekezaji kwenye kutuuzia umeme Hapana.
Screenshot_20211009-094541_1.jpg
Screenshot_20211009-093520_1.jpg
 
Huyu January ni useless kabisa!

Hajatembelea hata miradi aliyoacha Hayati Magufuli kama mradi wa Nyerere Hydro ( Stiglers Gorge) ameshakimbilia Marekani kuomba misaada kwenye Umeme!,

Hayati Julius Nyerere alitufundisha how to use our resources at maximum, sasa nikuulize wewe January kabla ya kukimbilia Marekani umejaribu kuangalia kwanza uwezo wa Watanzania kuwekeza kwenye hiyo sector!?

Haya, miradi ya REA ilibakiza vijiji kama 2000 ili Nchi yote iwe na umeme ( electrified) chini ya Rais Magufuli sasa msaada unaotafuta Marekani wa nini!

January tambua kuwa unakuwa dhaifu sana pale wewe unapotaka kupokea tu na kila kitu! " There is much power in giving than receiving"!

Huyu January inavyoonekana ana uwezo mdogo sana ila anabebwa tu ! Rais Magufuli alikuwa sahihi sana KUMPIGA CHINI!
 
Spot on. January is useless.
 
I really dont like Makamba's moves hadi sasa!Sijui anataka kufanya nini na kina impact gani in the next 2 to 5 years.

Serikali ni ccm ile ile kwanini approach iwe tofauti?

Magu aliwaondoa hawa wageni kwenye sekta ya nishati na matokeo yakaanza kuwa chanya,nini kinachotuaminisha kuwa leo tunahitaji wawekezaji wale wale waliolitia madeni kibao Tanesco waje hadi "chumbani" sekta ya nishati?

I hope it's for the better,otherwise kama mna mambo yenu binafsi mengine ambayo yatakuwa tatizo kwa watanzania walio wengi in the long run,basi nawaambieni Mungu yupo.

Tupo madhabahuni sisi makuhani wa Bwana.
 
Soon enough we will have excess of Megawatts after completing Bwawa la Nyerere..., would they help us buy the excess ? for I do not see further need of generation; keeping in mind it will be a business partnership and not charity
 
I really dont like Makamba's moves hadi sasa!Sijui anataka kufanya nini na kina impact gani in the next 2 to 5 years.

Serikali ni ccm ile ile kwanini approach iwe tofauti?

Magu aliwaondoa hawa wageni kwenye sekta ya nishati na matokeo yakaanza kuwa chanya,nini kinachotuaminisha kuwa leo tunahitaji wawekezaji wale wale waliolitia madeni kibao Tanesco waje hadi "chumbani" sekta ya nishati?

I hope it's for the better,otherwise kama mna mambo yenu binafsi mengine ambayo yatakuwa tatizo kwa watanzania walio wengi in the long run,basi nawaambieni Mungu yupo.

Tupo madhabahuni sisi makuhani wa Bwana.
Mimi bado najiuliza bado tunawahitaji tu hao?
 
Kwahiyo Makamba anaiinamisha ccm ili mabeberu ya Uholanzi yapige kitu?

Tuliwaambia mabeberu ndiyo kila kitu ktk dunia hii. Angalia sasa ccm mnavyoinamishwa na Makamba.
 
I really dont like Makamba's moves hadi sasa!Sijui anataka kufanya nini na kina impact gani in the next 2 to 5 years.

Serikali ni ccm ile ile kwanini approach iwe tofauti?

Magu aliwaondoa hawa wageni kwenye sekta ya nishati na matokeo yakaanza kuwa chanya,nini kinachotuaminisha kuwa leo tunahitaji wawekezaji wale wale waliolitia madeni kibao Tanesco waje hadi "chumbani" sekta ya nishati?

I hope it's for the better,otherwise kama mna mambo yenu binafsi mengine ambayo yatakuwa tatizo kwa watanzania walio wengi in the long run,basi nawaambieni Mungu yupo.

Tupo madhabahuni sisi makuhani wa Bwana.
Kuna bandiko liliwekwa asubuhi na mtu mkamuona kama mpuuzi ila alikuwa na point tena mambo aliyozungumza ndio haya haya ambayo Makamba anaelekea kuyafanya!
 
Mimi binafsi ni mfuasi wa ushirikiano na watu wengine, siamini kabisa kwenye kujitenga. Hivyo hatua yoyote inayochukuliwa kuimarisha mahusiano naunga mkono 100%

Ni kweli mahusiano yetu hayakuwa mazuri kwa kupind Cha awamu iliyopita ya yule mtu.

Lakini haimaanishi sasa kila kitu tutegemee wengine, tulishaona pia madhara yake huko siku za nyuma.
Kwenye suala la umeme nimeona mh. Makamba akienda kuzungumza na ubalozi wa US pamoja na ubalozi wa Uholanzi kwa lengo la kusaidia uwekezaji kwenye umeme.

Hapa ndio naona tatizo lipo, ni kweli kabisa kweye umeme hatuwezi kujitegemea wenyewe? Hatuwezi kuzalisha umeme wenyewe?

Bado nashinda kuelewa dhana nzima ya kuomba uwekezaji kwenye umeme ni nini, ni lini kwenye mambo Kama haya tutaacha utegemezi?

Yalishatokea miaka ya nyuma makampuni Kama symbiom na Dowans kuifilisi Tanesco, tunataka tena turudi huko?

Kwanini mikakati isiwe kuifanya Tanesco ijitegemee badala ya kutegemea makampuni ya nje kuja kuwekeza huku yakiishia kuifilisi Tanesco kwa mikataba ya ajabu?

Ninaamini kwenye umeme tunaweza wenyewe Kama watanzania, hivyo kuomba uwekezaji kwa mataifa ya nje sio sahihi.

Kwenye sekta ya uchimbaji gesi nauunga mkono uwekezaji kwa kuwa bado hatupo vizuri eneo hilo, Ila uwekezaji kwenye kutuuzia umeme Hapana.
View attachment 1968979View attachment 1968980
Kwamba umeme wa bwawa la Nyerere hautatutosha?
 
I really dont like Makamba's moves hadi sasa!Sijui anataka kufanya nini na kina impact gani in the next 2 to 5 years.

Serikali ni ccm ile ile kwanini approach iwe tofauti?

Magu aliwaondoa hawa wageni kwenye sekta ya nishati na matokeo yakaanza kuwa chanya,nini kinachotuaminisha kuwa leo tunahitaji wawekezaji wale wale waliolitia madeni kibao Tanesco waje hadi "chumbani" sekta ya nishati?

I hope it's for the better,otherwise kama mna mambo yenu binafsi mengine ambayo yatakuwa tatizo kwa watanzania walio wengi in the long run,basi nawaambieni Mungu yupo.

Tupo madhabahuni sisi makuhani wa Bwana.
Tunarudisha Richmond. Tugawe hela za bure za escrow. Hapa tunaandaa escrow nyingine
 
Do nimesikitika sana kwa kweli kama tunaanza kurudi huko ili hali hayo makampuni hayajawahi kuwa na positive impact kwentu
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom