Waziri Majaliwa: Serikali kuwaajiri walimu wapya huku kipaumbele kikiwa ni walimu wa Sayansi.

mshale21

JF-Expert Member
Apr 8, 2021
2,049
4,904
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali imepata kibali kwa Mhe. Rais Samia Suluhu cha kuwaajiri walimu wapya huku kipaumbele kikiwa ni walimu wa Sayansi. Amesema hayo katika muendelezo wa ziara yake Mkoani Tabora...
 
Walimu wa kada zote wanastahili ajira.
Waalimu wa Sana'a wapo wengii sanaaa mashuleni

Nakumbuka enzi hizo napiga tempo waalimu wa sayansi na hesabu tulikuwa wa 4/ilaaa wa sanaaa walikuwa 15
 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali imepata kibali kwa Mhe. Rais Samia Suluhu cha kuwaajiri walimu wapya huku kipaumbele kikiwa ni walimu wa Sayansi. Amesema hayo katika muendelezo wa ziara yake Mkoani Tabora...
Sawa
 
Angesema walimu wa historia ya Sayansi angeeleweka vizuri.
Hawa wanasayansi wetu hamna kitu, wengine ni ma PhD lakini wameshindwa kujenga hata kichanja cha kisasa cha kuanikia dagaa ziwa Victoria
Uko sahihi kabisa. Miaka nenda wanawakaririsha tu watoto kuhusu Archimedes Principle!! What is biology! Halafu yule bingwa wa kukariri ndiye anaye chukuliwa kuwa mwenye akili!
 
At the last ndo mnaenda kutibiwa na hao hao manesi/madoctor/wataalamu wa maabara huku mkinywa vinywaji vyenu vya juice na ice cream zilizotengenezwa na hao hao Wana science na kuhakikisha na TFDA na TBS zinazoongozwa na hao hao Wana science.

Hii nchi wajinga mtaisha lini?
 
Angesema walimu wa historia ya Sayansi angeeleweka vizuri.
Hawa wanasayansi wetu hamna kitu, wengine ni ma PhD lakini wameshindwa kujenga hata kichanja cha kisasa cha kuanikia dagaa ziwa Victoria
We ni wakupuuzwa maana unaishi kula na kimya Bila kuona science inavyotumika ktk jamii,wewe akili yako imekalia kusubiri ugunduzi tu,afu unaenda KWA doctor kufanya nn Sasa?

Unakula sembe na Maharage afu unakuja kuongea utumbo
 
jamaa alitudanganya pombe haumwi... kumbe yupo mzena anabugia vidonge.

huyu ndugu walimu msimwamini mkaanza kujifariji.

ajira tegemeeni kati ya April hadi juni mwakani
 
We ni wakupuuzwa maana unaishi kula na kimya Bila kuona science inavyotumika ktk jamii,wewe akili yako imekalia kusubiri ugunduzi tu,afu unaenda KWA doctor kufanya nn Sasa?

Unakula sembe na Maharage afu unakuja kuongea utumbo
Nikuambie jambo
Unajua hata Darasa la saba failure ukimpekeka course kwa Rasi Simba kisha ukampeleka India akasomee U MD baada ya miaka kadhaa a to akuwa dakrari mzuri tu.
Nyie wapuuzi kazi yenu kukalili ma Archimedes principal ndio mnalilia muajiriwe mkawafundishe ujinga watoto wetu?
Miaka nenda rudi mnaendelea kufundishana kukariri?
 
Angesema walimu wa historia ya Sayansi angeeleweka vizuri.
Hawa wanasayansi wetu hamna kitu, wengine ni ma PhD lakini wameshindwa kujenga hata kichanja cha kisasa cha kuanikia dagaa ziwa Victoria
wivu mbaya sana , kwani kuna mtu alikulazimisha kusoma hayo masomo ya kidada , hebu ngoja niwashushie madogo nondo za physics hapa
 
Wivu gani?
Mimi nikiwa kijijini nilichaguliwa special school enzi hizo.
Shule nzima tulifaulu 2 tu. Kijiji kilifanya sherehe, tulipelekwa mpaka kwa DC.
Nafika school masomo yote napiga 90% na ushehe. Niliyaacha mwenyewe tu nilipogundua hayana dili.
wivu mbaya sana , kwani kuna mtu alikulazimisha kusoma hayo masomo ya kidada , hebu ngoja niwashushie madogo nondo za physics hapa
 
Huyo ndugu ana akili za kizee sana.Inabidi tu apumuzike kama wengine.
Shule yangu ya kata kwa sasa ina walimu wa sayansi 5 na wa sanaa 7. Kutokana na uhuru wa kuchagua masomo kuanzia kidato cha tatu, idadi ya wanaosoma sayansi ni ndogo mno na hao walimu wa sayansi wameshakuwa wengi na shida sasa imegeukia upande wa sanaa. Wafikirie vizuri, hata walimu wa Sanaa limeshakuwa tatizo........shule nyingi hawana walimu wa civics, geography, English na historia
 
Nikuambie jambo
Unajua hata Darasa la saba failure ukimpekeka course kwa Rasi Simba kisha ukampeleka India akasomee U MD baada ya miaka kadhaa a to akuwa dakrari mzuri tu.
Nyie wapuuzi kazi yenu kukalili ma Archimedes principal ndio mnalilia muajiriwe mkawafundishe ujinga watoto wetu?
Miaka nenda rudi mnaendelea kufundishana kukariri?
Mpumbavu sana wewe,inaonyesha level yako ya upumbavu ni kubwa sana
 
Kuna mtu kanikumbisha"Archimedes principle" ninaomba utafisiri alichosema huyo mwanasayansi kwa kiswahili.
 
Nikuambie jambo
Unajua hata Darasa la saba failure ukimpekeka course kwa Rasi Simba kisha ukampeleka India akasomee U MD baada ya miaka kadhaa a to akuwa dakrari mzuri tu.
Nyie wapuuzi kazi yenu kukalili ma Archimedes principal ndio mnalilia muajiriwe mkawafundishe ujinga watoto wetu?
Miaka nenda rudi mnaendelea kufundishana kukariri?
Nikuambie jambo
Unajua hata Darasa la saba failure ukimpekeka course kwa Rasi Simba kisha ukampeleka India akasomee U MD baada ya miaka kadhaa a to akuwa dakrari mzuri tu.
Nyie wapuuzi kazi yenu kukalili ma Archimedes principal ndio mnalilia muajiriwe mkawafundishe ujinga watoto wetu?
Miaka nenda rudi mnaendelea kufundishana kukariri?
Kwa hio wewe hujawahi kukariri eti ? Herufi ulizijulia tumboni kwa mama yako au ulizigundua wewe?
Neno kukariri unalichukuliaje, naona unachuki sana ?
Hata jina lako tu umelikariri, ki ukweli ulizaliwa huna jina.
 
Back
Top Bottom