Evans-Arsenal
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 868
- 1,385
Waziri wa mambo ya Nje na Afrika Mashariki Balozi Dkt Mahiga ameliambia bunge tukufu kwamba wizara yake imetenga Billioni 142 kwa ajili ya matumizi ya kawaida na Billioni 8.2 kwa ajili ya matumizi ya maendeleo pekee.
Dkt Mahiga amesema wizara yake ipewe bajeti ya Kiasi cha Billion 150.2 kwa ajili ya kujiendesha kwa mwaka wa fedha 2017-2018
Dkt Mahiga amesema wizara yake ipewe bajeti ya Kiasi cha Billion 150.2 kwa ajili ya kujiendesha kwa mwaka wa fedha 2017-2018