Ryaro wa Ryaro
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 2,659
- 1,422
Hiyo ndio Mikakati mipya ya CCM, ya kuwatumia Mawaziri wake kuelezea mazuri Mengi ya CCM ktk awamu hii ya nne. Juzi nilimshangaa saa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar-es-salaam ( Madabida sina uhakikana jina sahihi) akijaribu kuwaaminisha Watanzania wenye Ubongo timamu kwamba awamu ya nne chini ya rais Kikwete amefanya mengi mazuri zaidi ya awamu zote zilizotangulia ( kwa kusema hili naamini hata wana CCM walio wengi hawakufurahishwa nalo).
Sasa kama uhalisia ndio huo wa Kuzomewa ina maana CCM wanapokuwa kwenye vikao/ mikutano au makongamana wanapenda kuwazezeta watanzania na uongo wa kuzikuza takwimu za mafanikio wakati ndivyo sivyo.
Basi mfano huo wa kuwazomea ndio iwe ishara ya kuonyesha si tu kwamba watanzania wanajua kinachoendelea kwenye mkakati mpya wa uzugaji bali pia watanzania wamechoshwa na maneno matupu yasiyokuwa na matunda, kipango mizuri kwenye mikaratasi kwenye makaratasi wakati utelelezaji ni Zero.
Watanzania wamechoka na Siasa Uchwara ambazo zimejaa kulindana, Ruhwa and kupeana shukrani. Zomea, Zomea itaendelea kuwakumba wakiendelea kuhubiri hili wakati matendo na utekelezaji wake ni hakuna kitu.
Hongereni kwa Kuonyesha ukomavu kwa kujua haki zenu (maji ni hitaji la lazima kwa serikali makini dhidi ya watu wake). Ila mfanyavyo hivyo msiwadhuru kwani hiyo kuzomewa kwa mtu mwenye Bongo timamu ni fundisho tosha.