Waziri Lukuvi: Mafaili yetu ya uthaminishaji yanakaa sana Wizarani

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,825
9,532
Naamini barua hii fupi ya malalamiko itafika kwako timely.

Nimekuwa nikifuatilia faili langu la kuthaminisha ardhi Halmashauri ya Kinondoni mwezi wa tatu sasa wananipiga danadana pamoja na baadhi ya wenzangu ambao tunaamini mafaili yetu yamekaa kuzidi kawaida ya muda huko wizarani kama maafisa wa Halmashauri wanavyotueleza.

Kwa sababu wewe ni jembe na hii wizara kwa miaka mitano umeitendea haki tusaidie hawa wasaidizi wako wayatoe mafaili yetu....Urasimu wa namna hii unaikosesha serikali mapato na kuondoa trust sanjari na kualika rushwa.
 
Hivi bado ni waziri? Wengine hatupati hati kisa yuko jimboni huko kupigiwa kura. Hati ni lazima zisainiwe na waziri? Ungewekwa utaratibu wa mwanasheria wa wizara afanye hii kazi.
 
Hivi bado ni waziri? Wengine hatupati hati kisa yuko jimboni huko kupigiwa kura. Hati ni lazima zisainiwe na waziri? Ungewekwa utaratibu wa mwanasheria wa wizara afanye hii kazi.
Bora uko hatua ya hati...sie wa kuthaminiwa ndo tuna miezi lukuki na issue ni ya maofisa tu...urasimu hadi sio poa.
 
Back
Top Bottom