Mpira wa kona
JF-Expert Member
- Nov 25, 2016
- 350
- 338
Napenda kumkumbusha Mh.Waziri wa Ardhi Lukuvi iwapo kama kweli Serikali ya awamu ya tano imeamua kutenda haki Kwa wananchi wake bila kujali itikadi za kisiasa.Mh.Rais Mstaafu Bw.Mkapa anamiliki Shamba eneo la Mbezi jijini Dar es salaam.Shamba hili halilimwi ni pori .
Ninamwomba Waziri Lukuvi atende haki Kwa kutoa notisi ya siku 90 Kwa mmiliki wa Shamba hilo ili taratibu za kulitwaa kama lilivyotwaliwa la Mh.Sumaye zifanyike ili wananchi tuamini kuwa Sheria zinafuatwa Kwa yeyote yule.