Waziri Lukuvi, kuna shamba la Mkapa Mbezi, nalo ni "Pori"

Napenda kumkumbusha Mh.Waziri wa Ardhi Lukuvi iwapo kama kweli Serikali ya awamu ya tano imeamua kutenda haki Kwa wananchi wake bila kujali itikadi za kisiasa.Mh.Rais Mstaafu Bw.Mkapa anamiliki Shamba eneo la Mbezi jijini Dar es salaam.Shamba hili halilimwi ni pori .

Ninamwomba Waziri Lukuvi atende haki Kwa kutoa notisi ya siku 90 Kwa mmiliki wa Shamba hilo ili taratibu za kulitwaa kama lilivyotwaliwa la Mh.Sumaye zifanyike ili wananchi tuamini kuwa Sheria zinafuatwa Kwa yeyote yule.
bila kupepesa wala unafiki
 
Dada yangu, pole. Wewe ni kama mimi nakereka na watanzania sasa tusivyojua uandishi wa kiswahili. Trend inakuwa na ishafika hatua ya juu sasa maana makosa kama haya sasa tunayaona kwenye vyombo rasmi vya habari

Dah, ikiwa hata Rais Magufuli anakosea matamshi ya Kiswahili unategemea nini? Tutajitahidi hivyohivyo, tufanyeje zaidi.

Hili ni janga la elimu ya Tanzania. Sijaona Wakenya wakifanya makosa kama haya katika Kiswahili. Ukweli ubaki kuwa ukweli.
 
Napenda kumkumbusha Mh.Waziri wa Ardhi Lukuvi iwapo kama kweli Serikali ya awamu ya tano imeamua kutenda haki Kwa wananchi wake bila kujali itikadi za kisiasa.Mh.Rais Mstaafu Bw.Mkapa anamiliki Shamba eneo la Mbezi jijini Dar es salaam.Shamba hili halilimwi ni pori .

Ninamwomba Waziri Lukuvi atende haki Kwa kutoa notisi ya siku 90 Kwa mmiliki wa Shamba hilo ili taratibu za kulitwaa kama lilivyotwaliwa la Mh.Sumaye zifanyike ili wananchi tuamini kuwa Sheria zinafuatwa Kwa yeyote yule.

Huyo hahusiki ni wa chama chetu,mwanachjama mtiifu sana
 
Dah, ikiwa hata Rais Magufuli anakosea matamshi ya Kiswahili unategemea nini? Tutajitahidi hivyohivyo, tufanyeje zaidi.

Hili ni janga la elimu ya Tanzania. Sijaona Wakenya wakifanya makosa kama haya katika Kiswahili. Ukweli ubaki kuwa ukweli.

Pamoja na mimi kuwa na mtazamo tofauti na wewe kwenye mambo mengi kwa hili nakuunga mkono. Kuna watu wanaweka H mahali pa A. Kwa mtazamo wangu karibia 30% ya wachangiaji humu ndani huwa wana tatizo la kiuandishi. Na huko mtaani ndio balaa kubwa, wakati mwingine ukisoma sms unaweza ukatapika.
 
Kuna mapori mengine yametelekezwa kule Visiga,mkoa wa Pwani na yanamilikiwa na waliokuwa mawaziri wa utawala wa awamu ya pili.Lukuvi tunaomba fuatilia acha undumilakuwili.
 
Hapo Mkapa anataka kupatoa kwa ajili ya shughuli za kijamii Kama soko , na viwanja vya michezo na Biashara nyinginezo
Mbona itakuwa km kujitumbua mwenyewe ,mapema. Ila watuw atauliza kwanini yeye hakutumbuliwa pamoja na wengine?au yeye kwanini hakuona haja,hadi ilipoanikwa?
 
Lipo shamba la Mahita Wami Dakawa liko very underutilized.Frankly hakuna kitu kinachoendelea pale,ni uhuni tu.Lipo la Sumaye Mvomero nalo ni kero tupu kwa wananchi wa mji mdogo wa Mvomero.Waziri achukue hatua.
Napenda kumkumbusha Mh.Waziri wa Ardhi Lukuvi iwapo kama kweli Serikali ya awamu ya tano imeamua kutenda haki Kwa wananchi wake bila kujali itikadi za kisiasa.Mh.Rais Mstaafu Bw.Mkapa anamiliki Shamba eneo la Mbezi jijini Dar es salaam.Shamba hili halilimwi ni pori .

Ninamwomba Waziri Lukuvi atende haki Kwa kutoa notisi ya siku 90 Kwa mmiliki wa Shamba hilo ili taratibu za kulitwaa kama lilivyotwaliwa la Mh.Sumaye zifanyike ili wananchi tuamini kuwa Sheria zinafuatwa Kwa yeyote yule.
 
Ili uelewe kuwa issue ya Sumaye iliambatana na Malipizi ya Kisiasa. Utaona kama hilo Shamba la Mkapa litapokwa sasa
Sumaye si alishawaambia,mkitaka mambo yenu yanyooke muwe ccm,mnalia nini?mwacheni aisome namba.
 
Back
Top Bottom