Waziri Lukuvi, kuna shamba la Mkapa Mbezi, nalo ni "Pori"

Mpira wa kona

JF-Expert Member
Nov 25, 2016
350
338
Napenda kumkumbusha Mh.Waziri wa Ardhi Lukuvi iwapo kama kweli Serikali ya awamu ya tano imeamua kutenda haki Kwa wananchi wake bila kujali itikadi za kisiasa.Mh.Rais Mstaafu Bw.Mkapa anamiliki Shamba eneo la Mbezi jijini Dar es salaam.Shamba hili halilimwi ni pori .

Ninamwomba Waziri Lukuvi atende haki Kwa kutoa notisi ya siku 90 Kwa mmiliki wa Shamba hilo ili taratibu za kulitwaa kama lilivyotwaliwa la Mh.Sumaye zifanyike ili wananchi tuamini kuwa Sheria zinafuatwa Kwa yeyote yule.
 
Sasa na Sumaye Kama mfaidika wa mfumo uliokuwa sio endelevu awe mpole na a onyesha mfano bora kwa Watu wa chini Leo hii tunaona machinga na ujenzi holela kila mahali ni zao la uongozi wake mbovu akiwa waziri mkuu , halmashauri zote zilikuwa chini yake lakini Leo tunaona jinsi miji yetu ilivyo ya Ovyo.
 
Napenda kumkumbusha Mh.Waziri wa Ardhi Lukuvi iwapo kama kweli Serikali ya awamu ya tano imeamua kutenda haki Kwa wananchi wake bila kujali itikadi za kisiasa.Mh.Rais Mstaafu Bw.Mkapa anamiliki Shamba eneo la Mbezi jijini Dar es salaam.Shamba hili halilimwi ni pori .

Ninamwomba Waziri Lukuvi atende haki Kwa kutoa notisi ya siku 90 Kwa mmiliki wa Shamba hilo ili taratibu za kulitwaa kama lilivyotwaliwa la Mh.Sumaye zifanyike ili wananchi tuamini kuwa Sheria zinafuatwa Kwa yeyote yule.
Ili uelewe kuwa issue ya Sumaye iliambatana na Malipizi ya Kisiasa. Utaona kama hilo Shamba la Mkapa litapokwa sasa
 
Kuna kitu kinaitwa kutoa kwa Watu waliokusaidia au jamii iliyokuwezesha ukafika Huko ulipofika, hivyo ni jukumu la binadamu yoyote aliye na ziada kutoa kiasi cha Mali yake au elimu kwa jamii iwe Mkapa, Sumaye,Lowassa na viongozi wengine na Watu binafsi walio na nafasi au nguvu za ziada kusaidia wengine.
 
Vyama vya upinzani kwani ni wazawa mjomba? Hao ni walowezi na baadhi yao ni wakimbizi katika nchi ya yetu. Kama wao ni wazawa wa nji hii basi wameukana uraia wa nchi yao ya CCM.
 
Aliahidi kuwalinda tena hadharani kabisa, na juzi amekemea mmoja kuandikwa andikwa na magazeti, waacheni wapumzike wanalindwa.
 
Back
Top Bottom