Waziri Lukuvi bado ardhi haijanyooka

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,357
6,422
Mh. bado idara ya ardhi kuna madudu. Migogoro bado ni mingi kutoka idara ya ardhi kasi yako imepungua and new disputes are emerging with the prevailing low profile from your side
 
1465572366390.jpg
 
Lukuvi na kauli zake za bei elekezi ...ni kichekesho,ardhi ya Arusha ni ghali kuliko ardhi ya sehemu yoyote Tanzania..utawekaje sawa na ardhi na ya huko Nkasi?Tatizo kutoa maagizo kila siku ya kutafuta sifa kabla ya kubadili sheria...Nchi inaongozwa kwa sheria sio kwa kila tamko la mwanasiasa atakae kuja kushika nafasi ya uwaziri wa ardhi.Sasa ataongeza kesi mahakama ya ardhi,kwasababu hakuna mtu atakae kuwa tayari kupoteza ardhi yake ya thamani alioipata kwa shida kwa kauli tu ya Lukuvi aliyoitoa ili apigiwe makofi
 
Leo alikuwepo Dumila Morogoro akitatua migogoro ya ardhi
 
Back
Top Bottom