Waziri Lukuvi awasimamisha maafisa ardhi 183 kupisha uchunguzi

Gitarijosenga

JF-Expert Member
Aug 3, 2019
276
273
Waziri wa Ardhi, William Lukuvi jana amewasimamisha kazi watumishi 183 wa Wizara yake kupisha uchunguzi wa tuhuma za kuingilia mfumo wa kukadiria na kukusanya kodi ya pango la ardhi

Watumishi hao wanadaiwa kuingilia mfumo huo kinyume na taratibu na kusababisha upotevu wa mapato ya Serikali

Aidha, amemtaka Katibu Mkuu wa Wizara yake kuwasilisha orodha ya majina ya Watumishi hao kwa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU ili uchunguzi uanze mara moja

Hawa maafisa Ardhi vichomi sana pale Dodoma

Kyando na Njia walizidi kula hela za serikali kwa nguvu bila kuogopa kutoka kwa wananchi wanyonge ,washugulikiwe hawa, nani mwengine kashatapeliwa na hawa jamaa?
4AE668E6-F584-4D06-A28D-B4BD955E9508.jpeg
DDCCC2DF-FDE8-49D5-BE63-3CEBAC57E4F8.jpeg
E48B56F7-7F0B-4CD7-A9D6-523EEFD61F45.jpeg
 
Hawa maafisa Ardhi vichomi sana pale Dodoma
Kyando na Njia walizid kula hela za serikali kwa nguvu bila kuogopa kutoka kwa wananchi wanyonge ,washugulikiwe hawa,nani mwengine kashapihwa na hwa jamaa?View attachment 1175058
Kuna afisa ardhi wa Rombo jina lake Mwarabu zamani alikuwa Hai; huyu ni mla rushwa nguli asiyestahili kuwa kazini awamu hii. Kwa ushahidi serikali ifuatilie utendaji na madudu aliyofanya akiwa wilaya ya Hai!
 
Wewe kama mtumishi serikalini upo kitengo cha upigaji awamu hii ya magufuli ushauri wangu piga pesa tulia usijenge usinunue gari usifanye anasa za wazi wazi unaenda na maji kama kuku nunua jifungie na familia yako jiachie kama magari acha tulia tunza pesa yako subilia kipindi yupo bize na kampeni badili gari jenga haraka

Hii awamu haitaki mbwebwe yani unapiga pesa asubuhi jioni unakuja bar tusumbua 😀😀😀😀
 
Wewe kama mtumishi serikalini upo kitengo cha upigaji awamu hii ya magufuli ushauri wangu piga pesa tulia usijenge usinunue gari usifanye anasa za wazi wazi unaenda na maji kama kuku nunua jifungie na familia yako jiachie kama magari acha tulia tunza pesa yako subilia kipindi yupo bize na kampeni badili gari jenga haraka

Hii awamu haitaki mbwebwe yani unapiga pesa asubuhi jioni unakuja bar tusumbua
Kwanini ufanye ufisadi hata kama huonekani?

Lukuvi fukuza wote kabisa!
 
Nmeshangaa katika listi hiyo unakuta kituo labda Morogoro MC halafu mkoa ni mtwara ina maana hawapo siriaz mfano huyo wa #169
 
Back
Top Bottom