Waziri Luhaga Mpina Aagiza Kuvunjwa Kwa Mkataba Na Wawekezaji Watatu

hata mkata ipo vizuri. japo kunauwezekano timing yao ni huko.
by the way wawekezaji ndio waliua ranchi au siasa za MACCM ndio ziliua?

pia nikumbukavyo ni kuwa hizi Ranchi zilikuwa ziuzwe ila Mzee wa Mzeri alikataa zisiuzwe akiwa waziri mkuu.

je lini watarudisha nyumba za serekali ?
Nyumba za Serikali mkitaka zirudi inawezekana tu..
Sumaye ana maoni gani katika hilo?
 
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina amelielekeza Shirika la Ranchi ya Taifa (NARCO) kusitisha Mkataba na wawekezani watatu kwenye ardhi yenye hekta 68,000. NARCO iliingia mkataba na Farm Company Ltd, A to Z Animal Feeds Company na Ereto Livestock Keepers Association kuendesha Ranchi katika Mikoa ya Morogoro na Tanga lakini zimeshindwa kuziendeleza Ranchi hizo.
Tanzania: Contracts of National Ranch Corporation Investors Revoked
 
Serikali kupitia waziri Luhaga Mpina inayarajia kufuta mikataba yote iliyoingiwa kati ya NARCO na wawekezaji ambao kwa kiasi kikubwa walipelekea kuua utendaji na ufanisi wa Ranchi za Taifa.

Uhujumu huu tuliupigia kelele sana hata humu JF ..sasa chini ya Rais Magufuli tunaenda kushuhudia yale majipu yaliyoshindikana yakienda kutumbuliwa.

Wito wangu ni mmoja tu..kwamba tusisikie mtu kujificha nyuma ya kivuli cha Siasa za upinzani ajidai ameonewa eti kisa yeye ni mpunzani.

SOURCE:ITV HABARI
Ataa Mugabe alishafanya hivyo .lakini cha ajabu 2015 aliwaita tena kuwarudishia mashamba na kuwafidia na ahadi ya mkopo wa kuanzisha upya shamba 90% chini garantii ya serikali na sasa hivyi ameondoka juzi utawala mpya sera yake ya kwanza ni rudisha wawekezaji ,
 
Ili tuendelee tunahitaji mambo manne:

Watu
Ardhi
Siasa safi
Uongozi bora.

Tumekwama wapi?

Kuvunja mikataba bila mipango ni kazi bure.

Ningekua mkuu wa nchi hata ukuu wa Wilaya mtu asingepata bila kuandika plani ya kwa nini unaweza kuwa mkuu wa wilaya.
Na lazima uandike plani na changamoto zilizoko.
Yaani ni lazima uniambie kuwa unaweza kuwa waziri wa wizara gani?
Changamoto unazoziona kwenye wizara hiyo!
Mbinu gani utazitumia kuondoa changamoto hizo kwa muda mfupi na muda mrefu!?

Ni vema mtu anayetaka kuteuliwa kuwa waziri angeeleza kuwa atatumia vipi rasilimali watu kuleta maendeleo ya nchi?

Hapo nisingeangalia chama ,elimu ,kabila,kanda, rangi (hata akijitokeza mzungu au mhindi ),dini n.k ,bali uwezo wa mtu alioonyesha kwanye maelezo yake kabla ya kuanza!

Kwa sasa tuna baadhi ya mawaziri ambao hawakustahili kupata hata udiwani zaidi ya mbeleko.

Hakuna ubunifu. Kucha kuchwa ni kuzunguka na viziara vya kuvamia bila tija.
 
SASA ni zamu ya mzee mamvi naye ajiandae mapema kwani alijimilikisha ranchi za taifa kwa ubinafsi tu sasa zinarudi serikalini kwa manufaa ya wengi na taifa letu. Zamu ya Mr. Zero ilishapita ametulia.

Hongera JPM na watendaji wako kwa kazi nzuri ya kutuondelea waroho wachache wa mali ya umma waliotumia vyeo vyao kujinufaisha na kujipambanua eti ni watetezi wa wanyonge.

Mabadilikooooo.... zungushaaa mikono x 2.
 
Ili tuendelee tunahitaji mambo manne:

Watu
Ardhi
Siasa safi
Uongozi bora.

Tumekwama wapi?

Kuvunja mikataba bila mipango ni kazi bure.

Ningekua mkuu wa nchi hata ukuu wa Wilaya mtu asingepata bila kuandika plani ya kwa nini unaweza kuwa mkuu wa wilaya.
Na lazima uandike plani na changamoto zilizoko.
Yaani ni lazima uniambie kuwa unaweza kuwa waziri wa wizara gani?
Changamoto unazoziona kwenye wizara hiyo!
Mbinu gani utazitumia kuondoa changamoto hizo kwa muda mfupi na muda mrefu!?

Ni vema mtu anayetaka kuteuliwa kuwa waziri angeeleza kuwa atatumia vipi rasilimali watu kuleta maendeleo ya nchi?

Hapo nisingeangalia chama ,elimu ,kabila,kanda, rangi (hata akijitokeza mzungu au mhindi ),dini n.k ,bali uwezo wa mtu alioonyesha kwanye maelezo yake kabla ya kuanza!

Kwa sasa tuna baadhi ya mawaziri ambao hawakustahili kupata hata udiwani zaidi ya mbeleko.

Hakuna ubunifu. Kucha kuchwa ni kuzunguka na viziara vya kuvamia bila tija.
Kwa waziri kutekeleza mpango huu nampa tick ya asilimia 100 ya utendaji unaoangalia maoni ya wananchi.

Kila uchao ni vita kati ya wakulima na wafugaji wakati kuna maeneo ambayo Ng'ombe na mbuzi wangeweza kukaa na kuondoa kero ya kuharibu mazao na vita visivyokwisha
 
jamani bado tumajichanga kwenye kodi ili tuwalipe wale jamaa wa bombadier tuliyo wasitishia mkataba kinyamela tayar huyu naye kasitisha mwingne kwa hiyo sisi tutakuwa watu kodi zetu kuchezewa kwa ajilj ya maamuz ya watu wasiokuwa makini?,
 
jamani bado tunajichanga kwenye kodi ili tuwalipe wale jamaa wa bombadier tuliyo wasitishia mkataba kinyamela tayar huyu naye kasitisha mwingne kwa hiyo sisi tutakuwa watu wa kodi zetu kuchezewa kwa ajilj ya maamuz ya watu wasiokuwa makini?,
 
Back
Top Bottom