Waziri Lugola hongera sana, unajua kula na kipofu

Dominus Vobiscum

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
432
493
Kwanza ninapenda ku-declare Interest, Mimi ni jirani yako kule Mwibara.
Pili, nakupongeza kwa Kuteuliwa kwako kwenye Idara nyeti kabisa ya Usalama wa Raia (Isomeke "Ustawi na Usalama wa Rais).

Baada ya kusema hayo;
Nimeona prompt ya utendaji kazi wako, from day one. Nakutabiria kudumu kwako hapo wizarani. Kwani umeonesha upo radhi kutekeleza agizo la kuwatwanga mashangazi zetu, ili kumfurahisha Kaisari.

Nimeona ulivyojibu habari za kupotea (kutekwa) kwa RAIA wenye Nchi, kadhaa, nawe ukionesha dharau na kibri cha uzima cha kiwango cha RAMI.

Hivyo ndivyo apendavyo Mh Kaisari.

Hongera Mkaruka Lugola.

Note: Everything changes, including change itself! Watch out.
 
Tutapata taaabu sanaaaaaa msimu huu, Kwamba watanzania tukipotelea nyumbani serikali haihusiki
 
Kama kawaida ni kukurupuka tu kwa kwenda mbele.....

Lengo lake likiwa ni kumu-impress Bwana Jiwe
 
Kwanza ninapenda ku-declare Interest, Mimi ni jirani yako kule Mwibara.
Pili, nakupongeza kwa Kuteuliwa kwako kwenye Idara nyeti kabisa ya Usalama wa Raia (Isomeke "Ustawi na Usalama wa Rais).
Baada ya kusema hayo;
Nimeona prompt ya utendaji kazi wako, from day one. Nakutabiria kudumu kwako hapo wizarani. Kwani umeonesha upo radhi kutekeleza agizo la kuwatwanga mashangazi zetu, ili kumfurahisha Kaisari.
Nimeona ulivyojibu habari za kupotea (kutekwa) kwa RAIA wenye Nchi kadhaa, nawe ukionesha dharau na kibri cha uzima cha kiwango cha RAMI.
Hivyo ndivyo apendavyo Mh Kaisari.
Hongera Mkaruka Lugola.
Note: Everything changes, including change itself! Watch out.
...ukitilia maanani yule mbunge bwege aliahidi anaenda kulianzisha, bila shaka angelianzisha na mashangazi zake hinko huko jimboni.
Kila maamuzi yana ghrama zake !
Sumu.haionjwi. watch out !
 
Kwanza ninapenda ku-declare Interest, Mimi ni jirani yako kule Mwibara.
Pili, nakupongeza kwa Kuteuliwa kwako kwenye Idara nyeti kabisa ya Usalama wa Raia (Isomeke "Ustawi na Usalama wa Rais).

Baada ya kusema hayo;
Nimeona prompt ya utendaji kazi wako, from day one. Nakutabiria kudumu kwako hapo wizarani. Kwani umeonesha upo radhi kutekeleza agizo la kuwatwanga mashangazi zetu, ili kumfurahisha Kaisari.

Nimeona ulivyojibu habari za kupotea (kutekwa) kwa RAIA wenye Nchi kadhaa, nawe ukionesha dharau na kibri cha uzima cha kiwango cha RAMI.

Hivyo ndivyo apendavyo Mh Kaisari.

Hongera Mkaruka Lugola.

Note: Everything changes, including change itself! Watch out.
Ukitaka kudumu ktk awamu hii itabidi uonyeshe upunguani kwani ni awamu yao
 
Kwanza ninapenda ku-declare Interest, Mimi ni jirani yako kule Mwibara.
Pili, nakupongeza kwa Kuteuliwa kwako kwenye Idara nyeti kabisa ya Usalama wa Raia (Isomeke "Ustawi na Usalama wa Rais).

Baada ya kusema hayo;
Nimeona prompt ya utendaji kazi wako, from day one. Nakutabiria kudumu kwako hapo wizarani. Kwani umeonesha upo radhi kutekeleza agizo la kuwatwanga mashangazi zetu, ili kumfurahisha Kaisari.

Nimeona ulivyojibu habari za kupotea (kutekwa) kwa RAIA wenye Nchi kadhaa, nawe ukionesha dharau na kibri cha uzima cha kiwango cha RAMI.

Hivyo ndivyo apendavyo Mh Kaisari.

Hongera Mkaruka Lugola.

Note: Everything changes, including change itself! Watch out.
Sasa mbona unamtisha jirani yako mkuu,hutaki afanye kazi,au na wewe ni mmoja wa wale wale,huyooo....,huyoo....,
huyoo....,huyoo....!
Anyway nikuambie kitu cha ukweli,
Tanzania sio mahali salama kwa sasa kwa mtu mwenye makandokando.Kama wewe ni mmoja wao anza tu kuchapa lami.It's just a matter of time,the system will get hold of you,huyu jamaa noma aisee,hana utani kabisa.
 
Hujui usemalo wewe. Huyu si mwaka jana tu alidakwa na PCCB akituhumiwa kula mlungula kwa kichaka cha Kamati ya Bunge,na Kesi ipo Mahakamani, na Hajasafishwa? Is he clean?
By the way, He's an attention seeker kama alomteua.
 
Dunia inakwenda kasi sana, matumizi ya akili pekee ndio njia ya kwenda na hii kasi..

Watanzania mtakufa sana na kuteseka sana kwa kkushindwa kutumia akili kutatua matatizo..
 
Hujui usemalo wewe. Huyu si mwaka jana tu alidakwa na PCCB akituhumiwa kula mlungula kwa kichaka cha Kamati ya Bunge,na Kesi ipo Mahakamani, na Hajasafishwa? Is he clean?
By the way, He's an attention seeker kama alomteua.
This does not deserve my comment.
 
Back
Top Bottom