Hili bus linatoka bunda saa 12 asubuhi kwenda mwanza na kurudi jioni Ni la hovyo Sana, sijui kingamuzi Ni kibovu? Limbizwa hivyo tu, mie lilishanikosakosa pale kalemela,Mambo mengine ya kijinga sana. Basi la abiria linafukuzana na lori la mizigo ili iweje? Zingekuwa zote basi za abiria tungesema zilikuwa zinagombania abiria.