Waziri kuacha bunge na kukimbilia Serengeti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri kuacha bunge na kukimbilia Serengeti

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by UNO, Jun 22, 2012.

 1. U

  UNO Senior Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 197
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inasikitisha sana kusikia kwamba mtalii aliyekuja kupumzika Tanzania na kufurahia vivutio vya maliasili amekatishwa maisha yake hapa Tanzania, haitasahaulika milele kwa wanafamilia na nchi atokako. Majambazi waliovamia kambi/camp huko Serengeti na kupora familia 17 wamemuua mtalii mmoja toka Netherlands. Ni wakati muafaka kuimarisha huduma katika mbuga zetu za wanyama, kwani huingizia serikali mapato makubwa. Kwa tukio hili naamini kabisa ni headline kwenye nchi za Ulaya, na hii inaweza ikapunguza kabisa mapato yanayotokana na utalii. Serikali ifanye juu chini kuwapata wahalifu hawa, hata kama wanatoka nchi jirani. Pia nashauri serikali/hifadhi iwajibike kwa makosa haya ya kushindwa kutoa hifadhi iliyopaswa. Igharamie na kurudisha fedha ambazo wameporwa. Hili na liwe fundisho katika industry hii ya utalii.
   
 2. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,290
  Likes Received: 598
  Trophy Points: 280
  Hiyo heading inaonesha kama unalaumu waziri kwenda kwenye tukio, ndiyo?
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  nadhani kampuni iliyowapeleka wana bima ya matukio kama haya.....na isitoshe kuna tourist insurance.....however....serikali iangalie namna ya kuwapa ulinzi watalii wa nje ya hifadhi kama wanavyofanya kwa wa ndani ya hifadhi....coz mwisho wa siku....wote wanaliingizia taifa pato....
   
 4. babe S

  babe S JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 3,703
  Likes Received: 19,819
  Trophy Points: 280
  Oh my this is such a spoiler of the image
   
 5. don-oba

  don-oba JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 1,384
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mbona polisi wanavyowamininia risasi za moto wananchi maeneo ya migodi ya North Mara na GGM, mawaziri hawakatishi vikao vya bunge kutembelea maeneo hayo?
   
 6. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  WE UMEONA MZUNGU MMOJA KUFA INAUMA KULIKO WATANZANIA WALIOKUFA??
  hebu panua uwezo wako wa kufikiri bwana
   
 7. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #7
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Una akili ya kuvuta watu tusome.
   
 8. U

  UNO Senior Member

  #8
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 197
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  deal with a specific issue at a time. Mbona unachanganya mambo??
   
 9. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #9
  Jun 22, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  loading.................
   
 10. B

  Bob G JF Bronze Member

  #10
  Jun 22, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Very saad, Hapa kenya itakuuza hili jambo mpaka tukose watalii, Hawa watanzania wenzetu why? tunaidhalilisha nchi yetu?
   
 11. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #11
  Jun 22, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  This what is called "cold turkey syndrome" kichwa cha habari hakina mahusiano na habari...unatumia drugs?
   
 12. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #12
  Jun 22, 2012
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Kijiji cha Robanda ipo katika eneo la Ikona Wildlife Management Area. Wanaopaswa kulinda ni Askari wa Vijiji ya Village Game Scouts (VGS) ambao kwa uzembe wa nchi hawana silaha za moto.

  Ipo Serikali inapaswa kulaumiwa kwa kuanzisha Sera ya Wanyamapori ambao inawaweka wawekazaji kwenye ardhi za vijiji ambayo haina usalama unaostahili.

  Hivyo, Mkurungenzi wa Wanyamapori (Serikali) na Jumuiya ya Hifadhi ya Jamii ya Ikona wanapaswa kuwajibika kwa sababu wao ndio wanapokea ushuru kutoka kwa Mwekezaji (Moivaro Tented Camp).
   
Loading...