Waziri Kivuli wa Afya Fuatilia, Maosipitali Hayana Chanjo za Polio | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri Kivuli wa Afya Fuatilia, Maosipitali Hayana Chanjo za Polio

Discussion in 'JF Doctor' started by ibange, Sep 10, 2012.

 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Huwa kila siku tunaimba hapa kuwa serikali yetu ni dhaifu kupita maelezo lakini wengine wanabisha. Huwezi kuamini matone ya chanjo ya polio maosipitali kwa sasa hakuna. Watoto waliozaliwa siku za karibuni wana hatari kubwa sana ya kukumbwa na polio. Hiki ni kitu cha mwisho serikali inaweza kukosa. Wazazi wengi sasa wanahangaika hawajui wafanyeje. Chadema kupitia waziri kivuli chunguza habari hii na chukua hatua haraka kwa kuzungumza na umma kuhusu udhaifu huu pamoja na kutoa taaarifa WHO maana tutapata janga la kitaifa kama hali hii haitashughulikiwa haraka.

  Source: Marafiki zangu wenye watoto waliozaliwa karibini, hata Muhimbili hakuna matone
   
 2. i

  ibange JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kama ni kweli hii ni mbaya sana
   
Loading...