Waziri kivuli Mdee awakilishwa kusoma Bajeti, Upinzani wasema bajeti imevunja rekodi duniani

Evans-Arsenal

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
868
1,385
Wakati akiwa nje ya bunge msemaji mkuj wa kambi ya upinzani katika wizara ya Fedha na Mipango, Mh Halima Mdee leo amewakilishwa na msemani mwingine wa Upinzani huku wakiipinga. Bajeti ya wizara ya Fedha na Mipango kwa kuweka bajeti yao ya takribani trillion 29.9 kwa mwaka wa Fedha 2017/2018 na kupinga baadhi ya vitu vilivyowekwa kwenye bajeti pamoja na kutoa vipaumbele vyao kama Vyama vinavyounda kambi rasmi bungeni huku wakipiga kelele za kuwa na imani na Rais mstaafu Benjamini Mkapa na Jakaya Mrisho Kikwete
_________________________
UTANGULIZI

Mheshimiwa Spika, kwa niaba ya Msemaji Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni katika Wizara ya Fedha na Mipango, Mheshimiwa Halima James Mdee (Mb), naomba kuwasilisha maoni ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kuhusu Hali ya Uchumi wa Taifa, Mpango wa Maendeleo wa Taifa na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2017/18.

Nawasilisha....
 
Back
Top Bottom