waziri kiongozi ameikana kauli ya mkubwa wake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

waziri kiongozi ameikana kauli ya mkubwa wake

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Godwine, May 13, 2010.

 1. G

  Godwine JF-Expert Member

  #1
  May 13, 2010
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,354
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Kitendo cha waziri kiongozi wa zanzibar kusema hadharani kwamba tanzania tunaibiwa katika mgodi wa tanzanite imetofautiana na mkuu mwenzake katika wizara ya madini ambapo alisema tanzania inapata inachostaili kupata,
  je hii inamaanisha serikali haina takwimu au nani amekurupuka?
  je kama yeye ameona tunaibiwa amechukua hatua gani mpaka sasa
   
 2. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #2
  May 13, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,850
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Wanaujua Ukweli ila wanasepa kusema ukweli............................
  ila huyo Mzenji amepasua Ukweli.
   
Loading...