junky
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 413
- 976
Wana JF
Miezi kadhaa Nyuma waziri aliyeteuliwa wizara ya Mali asili na utalii Mh Kingwangwala aliingia kwa kasi sana nakumbuka mwezi September au November mwanzoni alitoa agizo na amri kampuni inayomilikiwa na wadubai huko Loliondo ifunge virago vyao na waondoke kabla ya January.
Kiukweli agizo hili liliwafurahisha wengi na alipata sifa kedekede kuwa kiongozi shupavu lakini Jana nimepita mitaa ya Loliondo nimeona wale majamaa hawajafunga virago vyao na kuondoka na tayari tunaelekea katikati ya January saizi
Je kampuni hii imekaidi amri ya Mh Kingwangwala au Mh alikurupuka kupata mass attention
Waziri Kigwangalla aagiza kampuni ya Uwindaji ya OBC ya Loliondo kurudi walikotokea kabla ya Januari 2018