Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 9,457
- 19,233
asante sana kwa habari hii njema. hata Neno la Mungu limeandika, ajishushaye anakwezwa, na ajikwezaye atashushwa, neno la Mungu latuonya unyenyekevu tujivike, Mungu huwapiga wenye kiburi lakini huwapa wanyenyekevu neema.Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Ashatu Kijaji, amesema wizara inasubiri ripoti ya tume iliyoundwa kuchunguza tukio la aliyewahi kuwa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, kuvamia kituo cha utangazaji cha Clouds mwezi Machi 2017.
Pia soma
hii ni principle ambayo Mungu hajawahi kufanya nayo makosa, akikupandisha ukaota mapembe na kuwa mungumtu its just a matter of time, utashushwa tu. angalia sabaya alikuwa mungu mtu Hai, angalia makonda alikuwa mungumtu tz nzima, angalia chalamila alikuwa mungumtu lakini sasaivi hana hata kazi ya kufundisha hajapata, angalia matakataka yooote yaliyosumbua na kunyanyasa nafsi za watu kipindi cha jpm, yoote yameshushwa. tujifunze kutokuwa na kibri, na kutowanyanyasa wanyongwe au yeyote asiye na hatia kwa kutumia madaraka ambayo Mungu ametuneemia tu kutupatia haikuwa haki yetu ni neema tu. aswekwe mbali huko.