Alexander The Great
JF-Expert Member
- Aug 28, 2018
- 4,502
- 23,582
Chief anaendelea kufukua makaburi.
Kwa hiyo kule mucobs alienda kuchukua ujinga?Un educated person akawa mkuu wa mkoa haya yanatokea Tanzania tu chini ya ccm
Wanatafuta tu namna ya kula hela.Ile ripoti ya Nape ilifanyiwa kazi?
ndiyo mue apo hakuna kesiNgoja tuone!
Mbona kwa Sabaya na Mbowe hazikuundwa tume?
Timu inayoratibu hilo zoezi haiwezi kumgusa RidhiNi zamu ya ridhwani kumshikisha adabu, tena nintaratibuuuuu, hakuna haraka, hii itamfanya bashite awe na stresa nyimgi mno kabla hajaenda kwa mwenzake Sabaya
Ha ha haHakuna mtu anayekula raha kama Mimi.
Ingawa hapa wengi wenu mmenizidi umri Ila nawazidi sana kwa vitu vingi kwahiyo kuweni makini mnaongea na nani
Inaonekana aliyewateua nae alikua Ni uneducated tu.Un educated person akawa mkuu wa mkoa haya yanatokea Tanzania tu chini ya ccm
Nilidhani hilo ni jukumu la polisi siyo tume!Bwasheh unaambiwa watu wanazo cctv videos za yaliyofanyika zaidi ndani 😂😂😂
Ogopa teknolojia mzee
Ila ngoja tuone bwasheh kama unavyosema
Ova
Ndio imeisha hiyo.
Nimekuelewa bwashee!ndiyo mue apo hakuna kesi
Alitumbuliwa kabla ya kuiwasilisha kwa mamlaka ya uteuzi.Kwani Nape aliondoka nayo?
jitahidi kutofautisha awamu hii sio awamu ya jiwe kila buku la zamazake swala lamuda tuIle ripoti ya Nape ilifanyiwa kazi?
Mwanzoni sikuelewa 😀Hakuna mtu anayekula raha kama Mimi.
Ingawa hapa wengi wenu mmenizidi umri Ila nawazidi sana kwa vitu vingi kwahiyo kuweni makini mnaongea na nani