Waziri Kijaji: Nasubiri ripoti ya Tume inayochunguza upya tukio la Makonda kuvamia Clouds

Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
7,210
12,913
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Ashatu Kijaji, amesema wizara inasubiri ripoti ya tume iliyoundwa kuchunguza tukio la aliyewahi kuwa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, kuvamia kituo cha utangazaji cha Clouds mwezi Machi 2017.

Pia soma

Makonda.jpg
 
Makonda aliwai kuwaambia waalimu wakidai nyongeza ya mshahara atawacharaza viboko kama watoto, mbaki na hapo aliwai kusema ofisi yake imejaa wafanyakazi mizigo hawana kazi wanazunguka zunguka tu, , makonda aliku anawakosea sana watu
lakini sawa tu yaliyopita wayaache ashajifunza wamsamehe
 
Un educated person akawa mkuu wa mkoa haya yanatokea Tanzania tu chini ya ccm
 
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Ashatu Kijaji, amesema wizara inasubiri ripoti ya tume iliyoundwa kuchunguza tukio la aliyewahi kuwa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, kuvamia kituo cha utangazaji cha Clouds mwezi Machi 2017.

Pia soma

Kwani Nape aliondoka nayo?
 
Back
Top Bottom