Waziri Kijaji: Nasubiri ripoti ya Tume inayochunguza upya tukio la Makonda kuvamia Clouds

Waziri tunahitaji ripoti yetu.
Magufuli aliwaburuza akiwa hai na sasa naendelea kuwaburuza akiwa mauti kenge nyinyi.

Mko bize kuonyesha Samia siyo wa Magufuli huku mkijua aliteuliwa na Magufuli kuwa makamu wa rais.
 
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Ashatu Kijaji, amesema wizara inasubiri ripoti ya tume iliyoundwa kuchunguza tukio la aliyewahi kuwa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, kuvamia kituo cha utangazaji cha Clouds mwezi Machi 2017.

Pia soma

Tarehe kumbe ilikuwa sawa na tarehe ya kifo cha Mwendazake!
 
Un educated person akawa mkuu wa mkoa haya yanatokea Tanzania tu chini ya ccm
Graduate wa Moshi university of co operative na Master's ya Business na management na post graduate Diploma ya Leadership ni mjinga? Na kama ni mwerevu ni nani?

Mmeaminishwa ujinga na kwa ujinga wenu mmekubali.

Tatizo la Makonda ni kuunga unga elimu yake mpaka anafika chuo kikuu.
Kuunga unga primary, secondary, Diploma ya Bagamoyo kabla haja enda chuo kikuu.
Kuunga unga elimu haimaanishi kuwa wewe hakusoma.

President wa wanafunzi wa vyuoni vikuu vyote vya Tanzania hakusoma?

Kugombea uongozi vyoo vikuu moja ya sifa ni kufanya vizuri Darasani. Jee wanafunzi zaidi ya elfu ishirini wa vyuoni alivyo soma wote ni wajinga?

Kama Rais wao ni mjinga basi tuseme nini kuhusu wanafunzi wengine walio soma pamoja?
 
Hata uandike kitabu kizima kumsifia Makonda, atabaki ni mburula tu ambaye hakuna anachojuwa. Empty brain.

Pamoja na kuchukua cheti cha F4 ambacho siyo chake bado Makonda ni mbumbumbu.

Kilichomfkisha hapo alipofika ni kujipendekeza kwa wenye maamuzi, kukubali kuliwa nyuma, kutokuwa na mshipa aibu au kuchuja inapokuja suala la kumchafua mtu.
 
Graduate wa Moshi university of co operative na Master's ya Business na management na post graduate Diploma ya Leadership ni mjinga? Na kama ni mwerevu ni nani?

Mmeaminishwa ujinga na kwa ujinga wenu mmekubali.

Tatizo la Makonda ni kuunga unga elimu yake mpaka anafika chuo kikuu.
Kuunga unga primary, secondary, Diploma ya Bagamoyo kabla haja enda chuo kikuu.
Kuunga unga elimu haimaanishi kuwa wewe hakusoma.

President wa wanafunzi wa vyuoni vikuu vyote vya Tanzania hakusoma?

Kugombea uongozi vyoo vikuu moja ya sifa ni kufanya vizuri Darasani. Jee wanafunzi zaidi ya elfu ishirini wa vyuoni alivyo soma wote ni wajinga?

Kama Rais wao ni mjinga basi tuseme nini kuhusu wanafunzi wengine walio soma pamoja?
Hakuna cha kusoma hapa! Ukijua kupiga tu domo na kusifia sifia utawala unaweza kujikuta VP kesho. Msukuma, Tale wana elimu gani?
 
Back
Top Bottom