Waziri Kigwangalla afanyiwa maombi na wazee wa kimila na waganga wa kienyeji

Misingi ya Ukristo na Uislamu ipo katika Uyahudi.

Yesu niuzaowa Wayahudi, Ukristo umetokea kwa Yesu, Ukristo umetokana na Uyahudi.

Vitabu vya Agano la KAle vipo kwenye biblia ya Wayahudi kabla Yesu hajazaliwa.

Quran Muhammad katohoa sehemu kubwa tukwenye historia iliyowekwa na Wayahudi.

Na zaidi, hizi habari za Ukristo, Uislamu na matambiko ya asili ya Afrika, zote ni sawa tu.

Zote ni habari za kuamini katika supernatural powers bila ya uthibitisho.

Sasa utaanzaje kubagua kwamba haya wanaofanya waafrika ni shirka, ni ushenzi, wakati hata wakristo na waislamu nao wana symbolism hizo hizo za kuwekwa wakfu ina supernatural context, ambazo ukizifuatilialogically huwezi kupata uthibitisho kwamba zina lolote zaidi ya symbolism?

Sasa tunatukana matambiko ya Kiafrika kwamba ni shirka, wakati Uislamu na Ukristo ni yale yale tu?

Au ndiyo kasumba ya inferiority complex ya "Uafrika ni ushenzi".

Mimi naweza kusema hiyo symbolism haina maana zaidi ya syymbolism, kama mtu anavyoweza kubatizwa kanisani au kupata maji ya zamzam kwenye Hijja.

Vyote ni symbolism tu.

Sasa tunabagua symbolism za Kiafrika tunaziita shirka, za Waarabu na Wayahudi tunaziita dini?

Afrika hatuwezi kuendelea bila kupita kigingi hiki.

Tutaendeleaje wakati tushajikubalia wenyewe kwamba waliochaguliwa na Mungu ni Warabu, Wayahudi na Wazungu, sisi tunawasindikiza na tunawatumikia tu?
Unauhakika kuwa yesu aliwahi kuwepo duniani na si imaginary figure!? Una uhakika yesu ndiye mwanzilishi wa ukristo duniani!? Unafahamu mini juu ya uyahudi, ukristo na uislamu!? Unaweza kunichambulia kwa kina ufanano na utofauti wa imani/dini hizo kwa kuzingatia historia na misingi mikuu ya imani hizo na unieleze kipi kina nguvu zaidi kati ya ufanano na utofauti huo kwa ushahidi!? Je ukweli juu ya imani hizo unaweza kupatikana pia nje ya vitabu vya imani hizo na kwa ushahidi!?

Ukristo na uislamu ni wa wazungu na waarabu tu. Na ndio waanzilishi na wanufaika wakuu.
 
Una uhakika kwamba yeyote anaweza kuwa na uhakika kuhusu chochote popote kwa njia yoyote?

Uhakika ni nini na utajuaje huu ni uhakika?

Utatumia nini kuhakikisha uhakika ni uhakika?

Unaelewa Godel's Incompleteness Theorems?

Unaelewa Einstein's Relativity?

Unaelewa Heisenberg's Uncertainty Principle?

Unaelewa Hegelian Dialectics?

Unaelewa double slit experiment?

Unaelewa wave particle duality?

Uanelewa Schrodingers Cat's experiment?

Unajua vyote hivyo vinasema nini kuhusu uhakika?
 
Naona ghafla kasahau tena kama Mungu yupo. Siku akipata ajali nyingine atakumbuka tena uwepo wa Mungu. Kigwa anazipenda sana kamati huyu jamaa sijawahi ona
Hata miungu ipo pia, kabla ya dini tulizoletewa na wazungu mababu zetu walikuwa wakiabudu miungu yao. Mphamvu njoo umpe somo huyu kilaza.
 
Hapa Lowasa alikwenda kwa waganga wa kizungu. Makamanda wanajifanya hawaoni.

1540839767100.png
 
Una uhakika kwamba yeyote anaweza kuwa na uhakika kuhusu chochote popote kwa njia yoyote?

Uhakika ni nini na utajuaje huu ni uhakika?

Utatumia nini kuhakikisha uhakika ni uhakika?

Unaelewa Godel's Incompleteness Theorems?

Unaelewa Einstein's Relativity?

Unaelewa Heisenberg's Uncertainty Principle?

Unaelewa Hegelian Dialectics?

Unaelewa double slit experiment?

Unaelewa wave particle duality?

Uanelewa Schrodingers Cat's experiment?

Unajua vyote hivyo vinasema nini kuhusu uhakika?
Hahaa...ni sawa mtu amwambie jamaa kiranga komo. Aisee una vitu vingi kichwani.
 
Hata miungu ipo pia, kabla ya dini tulizoletewa na wazungu mababu zetu walikuwa wakiabudu miungu yao. Mphamvu njoo umpe somo huyu kilaza.
Miungu ipo, na mungu wa Waisraeli amehangaika nao sana kwenye harakati zake na taifa lake teule...
Kigwa amelindwa na miungu ya babu na bibi zake, sio mungu wa Arabuni wala wa Ulaya
 
Naona ghafla kasahau tena kama Mungu yupo. Siku akipata ajali nyingine atakumbuka tena uwepo wa Mungu. Kigwa anazipenda sana kamati huyu jamaa sijawahi ona
Mungu aliyeleta ajali ya Mafuriko dunia nzima akaua kila kilichomo isipokuwa Noah na familia yake na pacha ya wanyama?
You kidding, right?
 
Mhe. Rais tafadhali usisite kutumia rungu lako dhidi ya watu hawa. Anachafua sana Taswira ya serikali. Watu hawa mwisho wa siku hujiingiza kwnye uwindaji wa viungo.
 
Mungu aliyeleta ajali ya Mafuriko dunia nzima akaua kila kilichomo isipokuwa Noah na familia yake na pacha ya wanyama?
You kidding, right?
Hivi mkuu umeelewa nilichokiongea au umekuja tu mbio baada ya kuitwa na nduguyo na kuja kuongea mambo yasiyohusika kabisa na post yangu? Unaweza fikiri kwamba u mwelewa sana wa mambo lakini ukosefu wa umakini ukakufanya uonekane empty kabisa. Huyo chachu ombara kakupotosha sana
 
Msomi mzima unakalishwa kwenye ngoz?? Bila kufikir una tii kauli Hiyo achen ujinga nyie
 
Duuh aisee,haya matunguri unaweza kuongezewa mapepo tu na mikosi cos hata maadui zako wanatake advantage yakujifanya wanakuombea
 
Back
Top Bottom