official scandal
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 386
- 798
Mheshimiwa Kangi Lugola, heshima yako kiongozi. Mimi ni mkazi wa Kigamboni eneo la vijibweni.
Nina jambo moja tu, tuna tatizo la wavuta bangi uwanja wa mpira unaojulikana kama uwanja wa kwa Mhindi. Kila siku jioni vijana zaidi ya 60 hukutana hapo na kuvuta bangi pamoja na kuuza.
Tumeripoti kituo cha polisi Vijibweni lakini hakuna walichofanya. Mkichelewa wananchi wamepanga kuchukua hatua wenyewe maana tunaibiwa na tunavuta moshi wa bangi kila siku jioni.
Naomba ulifanyie kazi maana kituo cha polisi vijibweni kimeshindwa.
Bangi inatuathiri mheshimiwa.
Natamani ujumbe ufike kwa mkuu wa nchi labda tatizo hili litaisha