Waziri Kangi, bangi inavutwa waziwazi uwanja wa kwa Mhindi, Kigamboni Vijibweni na Polisi hawafanyi chochote

BANGE, STURA, NDUMU...CALL IT WHATEVER!!! Ubaya ni kwamba hata huyo unaemkabidhi mwenge waweza kukuta nae anajiwashaga na mjiti akiwa chemba!
 
Mheshimiwa Kangi Lugola, heshima yako kiongozi. Mimi ni mkazi wa Kigamboni eneo la vijibweni.

Nina jambo moja tu, tuna tatizo la wavuta bangi uwanja wa mpira unaojulikana kama uwanja wa kwa Mhindi. Kila siku jioni vijana zaidi ya 60 hukutana hapo na kuvuta bangi pamoja na kuuza.

Tumeripoti kituo cha polisi Vijibweni lakini hakuna walichofanya. Mkichelewa wananchi wamepanga kuchukua hatua wenyewe maana tunaibiwa na tunavuta moshi wa bangi kila siku jioni.

Naomba ulifanyie kazi maana kituo cha polisi vijibweni kimeshindwa.

Bangi inatuathiri mheshimiwa.

Natamani ujumbe ufike kwa mkuu wa nchi labda tatizo hili litaisha
Ngoja wavute wametaka wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha usnitch mkuu sa tukikamatwa na hao policcm utafaidika nini? Fata mambo yako jioni lazima mwenge uwake kama kawaida.
 
Naelewa mi nimeamua kuweka wazi tu maa raia wana hasira sana na nina hakika wanaweza fanya jambo baya
Kumbe pia wewe ni mvutaji bagi, ila mbaya zaidi wewe unavuta moshi wa bangi kila siku jioni.

NB:
Ujumbe wako ni mzuri ila sijui kama kuna kitakacho endelea. Hivi ulishawahi ona bangi zinazokamatwa na kupelekwa vituo vya polisi zikichomwa moto? Nafikiri zinatumiwa na -------
 
Kiukweli kigamboni ya sasa inatisha baada ya hawa vijana wa kurasini kulipwa pesa za upanuzi wa bandari na kuhamia upande wa Kigamboni.
Yaani ni juzi tu jirani yangu mwanachuo kapigwa kisu nchi nne chini ya bega na kimchinjo shingoni kisa smartphone ya kichina.
Wakabaji wanaodhurura na pikipiki kuvuzia mtu aliye pekeake wamkabe yameongezeka sana toka hao vijana wa TEMEKE wahamie huku.
 
Hali ni mbaya kwa kweli wizi umeongezeka sana
Kiukweli kigamboni ya sasa inatisha baada ya hawa vijana wa kurasini kulipwa pesa za upanuzi wa bandari na kuhamia upande wa Kigamboni.
Yaani ni juzi tu jirani yangu mwanachuo kapigwa kisu nchi nne chini ya bega na kimchinjo shingoni kisa smartphone ya kichina.
Wakabaji wanaodhurura na pikipiki kuvuzia mtu aliye pekeake wamkabe yameongezeka sana toka hao vijana wa TEMEKE wahamie huku.
 
Mleta mada acha usnitch bangi haina madhara. Sigara ndo mbaya.

MHUBIRI 4:13 SUV

"Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu. ambaye hajui tena kupokea maonyo."
 
Kiukweli kigamboni ya sasa inatisha baada ya hawa vijana wa kurasini kulipwa pesa za upanuzi wa bandari na kuhamia upande wa Kigamboni.
Yaani ni juzi tu jirani yangu mwanachuo kapigwa kisu nchi nne chini ya bega na kimchinjo shingoni kisa smartphone ya kichina.
Wakabaji wanaodhurura na pikipiki kuvuzia mtu aliye pekeake wamkabe yameongezeka sana toka hao vijana wa TEMEKE wahamie huku.
Nyie kufeni tu! Serikali iko bize kumwimbia magufuli nyimbo za sifa!
 
Mheshimiwa Kangi Lugola, heshima yako kiongozi. Mimi ni mkazi wa Kigamboni eneo la vijibweni.

Nina jambo moja tu, tuna tatizo la wavuta bangi uwanja wa mpira unaojulikana kama uwanja wa kwa Mhindi. Kila siku jioni vijana zaidi ya 60 hukutana hapo na kuvuta bangi pamoja na kuuza.

Tumeripoti kituo cha polisi Vijibweni lakini hakuna walichofanya. Mkichelewa wananchi wamepanga kuchukua hatua wenyewe maana tunaibiwa na tunavuta moshi wa bangi kila siku jioni.

Naomba ulifanyie kazi maana kituo cha polisi vijibweni kimeshindwa.

Bangi inatuathiri mheshimiwa.

Natamani ujumbe ufike kwa mkuu wa nchi labda tatizo hili litaisha
Hivi umbea unakusaidia nn.? Ngada nivute mm.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom