Waziri Kamwele: Tumetuma wanasheria nguli nchini Afrika kusini kushughulikia suala la ndege iliyokamatwa na Mahakama

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,833
141,752
Waziri wa ujenzi na uchukuzi mh Kamwelwe amesema serikali imetuma wanasheria nchini Afrika kusini kushughulikia ndege ya Atcl iliyokamatwa kwa amri ya mahakama.

Waziri amesema Jana walikuwa na vikao had I usiku wa manane na Leo asubuhi waliendelea na hatimaye kuamua kutuma wanasheria kufuatilia tujue tatizo.

Mh Kamwele amesisitiza kuwa Mahakama ni muhimili mwingine hivyo asingependa kuzungumzia zaidi swala hill had I wabobezi hao wa sheria watakapoleta taarifa

Waziri alikuwa akihojiwa kwa njia ya simu na mtangazaji wa habari was ITV.

Source ITV habari!
 
serikalini hakuna mwanasheria nguli!
 
Jinsi ningelitamani atumwe Palamagamba. Sifa zake zimezidi hizo za mwanasheria nguli kwa sababu yeye alikuwa mwalimu wao wa sheria. Nadhani mwanafunzi hawezi mzidi mwalimu wake. Pili, yeye ni mkuu wa diplomasia na alikaa karibu sana na mzee Rama hivyo atamsikiliza sana na kesho tu angerudi na hilo dege letu.
Lakini, Chonde chonde, msiwatume hao wanasheria na ile ndege yetu ya rais. Ikikwamia tena huko, siipati picha kwani nadhani nitaamkia mochware mimi
 
Waziri wa ujenzi na uchukuzi mh Kamwelwe amesema serikali imetuma wanasheria nchini Afrika kusini kushughulikia ndege ya Atcl iliyokamatwa kwa amri ya mahakama.

Waziri amesema Jana walikuwa na vikao had I usiku wa manane na Leo asubuhi waliendelea na hatimaye kuamua kutuma wanasheria kufuatilia tujue tatizo.

Mh Kamwele amesisitiza kuwa Mahakama ni muhimili mwingine hivyo asingependa kuzungumzia zaidi swala hill had I wabobezi hao wa sheria watakapoleta taarifa

Waziri alikuwa akihojiwa kwa njia ya simu na mtangazaji wa habari was ITV.

Source ITV habari!
Sasa shida ni nini? Ina maana mlikaa vikao hadi usiku wa manane mnajadili msichokijua?
 
Waziri wa ujenzi na uchukuzi mh Kamwelwe amesema serikali imetuma wanasheria nchini Afrika kusini kushughulikia ndege ya Atcl iliyokamatwa kwa amri ya mahakama.

Waziri amesema Jana walikuwa na vikao had I usiku wa manane na Leo asubuhi waliendelea na hatimaye kuamua kutuma wanasheria kufuatilia tujue tatizo.

Mh Kamwele amesisitiza kuwa Mahakama ni muhimili mwingine hivyo asingependa kuzungumzia zaidi swala hill had I wabobezi hao wa sheria watakapoleta taarifa

Waziri alikuwa akihojiwa kwa njia ya simu na mtangazaji wa habari was ITV.

Source ITV habari!
Dawa ya deni ni kulipa tu
 
Ni wanasheria 16?
 
Back
Top Bottom