Bin Chuma
JF-Expert Member
- Dec 13, 2013
- 314
- 243
Muheshimiwa waziri jana nimemsikia akijigamba kwenye tv kwamba hakuna shida ya umeme nchini, mitambo yote inafanya kazi vizuri na mabwawa yote yana maji ya kutosha!!
Je hajui kama dar es salaam baadhi ya maeneo kuna mgao kila wiki?
Je huu mgao unasababishwa na nini?
Maeneo yote ya tabata, gongo la mboto mpaka chanika kila juma 4 na juma 5 huwa ni siku ya mgao, unasababishwa na nini?
Na ni kwa nini hakuna taarifa rasmi ya mgao?