Waziri Kabudi: Nasema kamwe hatutapiga magoti, tumeona vihoja vyao

Wanaume wame KATA misaada kwa siasa zenu Maccm za KIGAIDI.
Mapovu kama yote KABUDI..
Si donner county nyie, Jengeni barabara ile ya njia8 Kimara - Chalize tuione. Mmevunja nyumba za watu hamkuwalipa. Hamna tofauti na MAGAIDI, Nani awape msaada magaidi wa kisiasa nyie WAKATE TU hamna namna.
Tunasubiri Siku hela ya kuwalipa wasiojulikana itakapokata, nasi tuanze yetu, ni kuwakata shingo kwa kwenda mbele, Musiba watch out!
 
Ila watu wengine bwana,unawakandya wazungu wakati Ndo hao hao wamekusomesha Ka Phd kako ka family law. Halafu mwanaume akisoma HKL bwana hasara tupu. Ndo maana mimi nilijiamliaga nitaolewa na PCM boy tu,Asante Mungu alinipa PCM boy.
Niko hapa PCM- Tambaza boy 1988, ni PM
 
Tunaweza kuendelea bila misaada, inawezekana, tatizo ambalo naliona kwa nchi nyingi za Africa ni kuwa tumeaminishwa na nchi za Magharibi kuwa hatuwezi kuendelea bila misaada,ndio maana hatuna maamuzi katika nchi zetu, effects hii imeikumbuka Tanzania toka awamu ya pili, tatu, nne na itaendelea wamu hii ya Tano, hii ni mika Zaidi ya miaka 35 tumekuwa tukipata misaada, hivyo wananchi wengi wamekuwa na hiyo mind,tumegeuka kuwa wazembe, akili zimekuwa dormant zinawaza misaada tu, hatuna new visions ya kujitoa katika aibu hii, leo Rais anachaguliwa na wananchi badala ya kufanya kazi na kuleta mawazo mapya ya jinsi ya kujitegemea anakuwa ni Rais wa kwenda nchi hii mara ile kuomba misaada, misaada ikiwa mingi anafurahi kuwa yeye ni kiongozi mzuri misaada ya magaharibi imeongezeka, ndio maana leo hii awamu hii itakuwa ngumu sana kuwabadili watu wengi kuondokana na dhana hiyo, in facts sisi waafrica ni wajinga sana that's what I can say, tulikubali aina hiyo ya uchumi misaada na tumebweteka tuka wavivu ,na tuko tayari kumpiga hata kufa mtu yeyote atakae kuja na wazo la tujitegemee, offcourse tutamtukana sana na kumuita majina yote mabaya, lakini kwa ufupi hii misaada haitaondoa umasikini Tanzania hata siku moja, mark my words.
 
Hivi ugomvi wetu na hawa marafiki zetu wa siku nyingi ni nini hasa na ulianza lini? Kwa ufahamu wangu mimi ni malamiko yao kwambà nchi yetu haiheshimu haki za binadamu, haki za kiraia, uhuru wa kisiasa na demokrasia na utawala wa sheria; inakandamiza vyama vya upinzani, nk. Malalamiko haya yameanza katika awamu hii ya uongozi wa nchi yetu. Hii ni mara ya kwanza tangu uhuru nchi hii inapata shutuma za kijima namna hii. Pamoja na kupitia mfumo wa chama kimoja nchi hii iliendelea kuwa nchi ya watu wastaarabu wanaothamini uhai wa binadamu, utu, uhuru, usawa na haki. Sasa, kwa kauli hii waziri wetu anatuthibitishia kuwa serikali yetu ipo tayari kupoteza hawa marafiki wetu wa zaidi ya nusu karne kwa sababu hatutakubali kuacha haya mambo yanayolalamikiwa, siyo na marafiki zetu bali zaidi hasa, sisi wenyewe. Hakika tunao tatizo kubwa sana.
Wamempiga Lisu risasi, wakagoma kumlipia matibabu. Lisu ametembelea nchi zote, Ulaya na Marekani, amezungumza facts za utawala wa kidikteta, Wazungu wamemwelewa. Kina Kabudi wasipoelewa hili wakaendeleza kiburi, "watapata tabu sana"
 
Wanaume wame KATA misaada kwa siasa zenu Maccm za KIGAIDI.
Mapovu kama yote KABUDI..
Si donner county nyie, Jengeni barabara ile ya njia8 Kimara - Chalize tuione. Mmevunja nyumba za watu hamkuwalipa. Hamna tofauti na MAGAIDI, Nani awape msaada magaidi wa kisiasa nyie WAKATE TU hamna namna.
Halafu eti jiwe yupo mstari wa mbele kuiombea Zimbabwe kwa mabeberu msamaha, wakati na yeye kitanzi hicho kina niga!!! Mabeberu ni kama maji, huwezi kuyakwepa
 
Ila watu wengine bwana,unawakandya wazungu wakati Ndo hao hao wamekusomesha Ka Phd kako ka family law. Halafu mwanaume akisoma HKL bwana hasara tupu. Ndo maana mimi nilijiamliaga nitaolewa na PCM boy tu,Asante Mungu alinipa PCM boy.
JF bwana, Ina vionjo vya kila namna. Sikjua kuwa Kabudi Ni HKL!!!!!!
 
Tunaweza kuendelea bila misaada, inawezekana, tatizo ambalo naliona kwa nchi nyingi za Africa ni kuwa tumeaminishwa na nchi za Magharibi kuwa hatuwezi kuendelea bila misaada,ndio maana hatuna maamuzi katika nchi zetu, effects hii imeikumbuka Tanzania toka awamu ya pili, tatu, nne na itaendelea wamu hii ya Tano, hii ni mika Zaidi ya miaka 35 tumekuwa tukipata misaada, hivyo wananchi wengi wamekuwa na hiyo mind,tumegeuka kuwa wazembe, akili zimekuwa dormant zinawaza misaada tu, hatuna new visions ya kujitoa katika aibu hii, leo Rais anachaguliwa na wananchi badala ya kufanya kazi na kuleta mawazo mapya ya jinsi ya kujitegemea anakuwa ni Rais wa kwenda nchi hii mara ile kuomba misaada, misaada ikiwa mingi anafurahi kuwa yeye ni kiongozi mzuri misaada ya magaharibi imeongezeka, ndio maana leo hii awamu hii itakuwa ngumu sana kuwabadili watu wengi kuondokana na dhana hiyo, in facts sisi waafrica ni wajinga sana that's what I can say, tulikubali aina hiyo ya uchumi misaada na tumebweteka tuka wavivu ,na tuko tayari kumpiga hata kufa mtu yeyote atakae kuja na wazo la tujitegemee, offcourse tutamtukana sana na kumuita majina yote mabaya, lakini kwa ufupi hii misaada haitaondoa umasikini Tanzania hata siku moja, mark my words.
Wewe usipotoshe, kama China, the world's second largest economy, wanapandishiwa Trade Tariffs na Marekani na wanapiga yowe.

Kama China, India, Japan, South Korea, Turkey na Greece wanaagizwa wakome kununua mafuta ya Iran na wanatii bila shuruti sasa Tanzania ndio takataka gani eti ikomae.

Nchi za UK, Germany na France hadi sasa wameshidwa kupata an alternative payment window to help Iran overcome the American economic sanctions hadi Iran wanafikiria kuwa afadhali tu wajitoe JCPOA wholesale.

Sasa sijui wengine mnaposema tunaweza tukajitegemea sijui mna maana gani au sasa tumeshindwa nini mbona tusianze kujitegemea miaka yooote hiyo.

Zimbabwe walifikia level ya juu mno kiuchumi ambapo sisi hatakuwahi kufikia lkn walipofikiria tu kama unavyojaribu kufikiria wewe leo, matokeo yake ndio tunayoshuhudia sasa.

Huwezi ukajitegemea wakati hata dhahabu na madini mengine ulizonazo na hata mazao ya biashara wewe huna soko lake bado unategemea ukabembeleze soko kwa hao mnaojaribu kuwakandya.

Ktk dunia hii kuna mataifa yaliishajiweka ktk position ambapo tayari wao ni "Absolutely indispensable to other countries a situation that cannot be reversed by mere political gimmicks or propaganda".

Akina Kabudi wao ni wapiga debe, watahangaika gari lijae hata kama ni bovu lkn yeye ameshahifadhi posho yake. Kabudi=Al Sahaf. These are merely political opportunists.
 
Back
Top Bottom