Waziri Jumaa Aweso, kanisa lililojengwa bila kibali lajiunganishia maji na kuiba maji ya Tuwasa mchana kweupe

Kosa liko palepale au ndio ulivyoandika hivi kosa limeondoka la kuiba maji .
aliyeibiwa alitakiwa kwenda polisi, ukiona hajaenda kuripoti polisi ujue hakuna kilichoibiwa hapo. mnapiga porojo tu. acheni watu wasali hata kama wanawapigia kelele na kusumbua mapepo yenu.
 
aliyeibiwa alitakiwa kwenda polisi, ukiona hajaenda kuripoti polisi ujue hakuna kilichoibiwa hapo. mnapiga porojo tu. acheni watu wasali hata kama wanawapigia kelele na kusumbua mapepo yenu.
Mchungaji mwenyewe mlemavu wa miguu ameshindwa kujiombea yeye apone ndio ataombea wengine ? .Miguu iko kama mkasi njoo na wewe umuombee tuone Kama atapona .
 
Mchungaji mwenyewe mlemavu wa miguu ameshindwa kujiombea yeye apone ndio ataombea wengine ? .Miguu iko kama mkasi njoo na wewe umuombee tuone Kama atapona .
na wewe jiandae kuwa mlevamu muda si mrefu ili uache kuwasema vibaya watu walio walemavu. be ready.
 
Kanisa linaitwaje hilo.. isiwe majungu majungu tu wrka taarifa kamili..
Kama mtaa huo unamakanisa matatu sisi tutajuaje?
Kamilisha taarifa yako mkuu..
 
Kama mtakumbuka mwezi mmoja au miwili iliyopita nilileta taarifa ya kanisa lililojengwa katikati ya barabara na kupiga muziki mkubwa sana masaa 24 mtaa Kariakoo kata ya Kitete.

Baada ya viongozi wa mkoa, wilaya, afisa mipango miji manispaa, mtendaji kata, mwenyekiti wa mtaa, afisa mtendaji wa mtaa kuwaendekeza kwa sababu ya rushwa wamewekwa mfukoni, sasa wameamuia kuiba maji, kujiunganishia maji bila kibali, bila kulipia wala kufuata utaratibu wowote ule, waziri wa maji, ardhi kazi kwenu huku Tabora kuna viongozi wa ajabu sana.

Ninavyoandika wapo wanaendelea na shughuli ya kujiunganishia maji mchana kweupe, Meneja amepigiwa simu anasema atafuatilia wakati watu wapo saiti sasa hivi wanafanya uhalifu, Tabora oyeeeee.
WANYAMWEZI NI WATU WA MAJUNGU,CHUKI,WIVU NA UMBEA. NENDA MAMLAKA YA MAJI KASHTAKI. HILI KANISA LIMEKUTESA SANA.MPAKA HII LEO HALIJAVUNJWA 😂😂😂😂😂😂😂 Pole dogo. Sasa tafuta ajira watakuua kwa presha. Uganga naona kwa sasa haukulipi.
 
huyu ni mhuni fulani tu mbabe wa mtaani asiyependa makanisa wala kuheshimu imani za watu wengine, hana ushahidi wa uhalali wa kinachoendelea.

Hana mandate kupeleka lalamiko kwa ofisi ya serikali husika, amekuja hapa kuleta umbea tu, anatakiwa kupuuzwa. kama kweli umezibwa njia hakuna mtu ambaye angekuwa amebako home hadi sasaivi angeshaenda ofisi za ardhi kushitaki zamani sana na wangeshapigwa stop.

Ukiona anakuja huku anonymous kushambulia mtu jua ni mhuni na mbeya asiye na maana.
Jamaa nadhani ana chuki binafsi. Ni muda sana anahangaika na hilo Kanisa. Nmeshamshauri aende vyombo husika. Hataki. Anakimbilia huku na jina ameficha. Mhuni,mchawi flani hivi(niliwahi soma sehemu ni mganganwa jadi) anakosa wateja kwa sasa.
 
jamaa anaongea utafikiri yeye ndiye mtoa vibali, unajuaje kama hawajaruhusiwa? halafu, kitu kinachopiga kelele mitaani ni kanisa tu? baa na masinagogi mengine huko huwa hayatusumbui usingizi ule wa asubuhi? acha watu waabudu jombaaa.
Kuiba je!
 
Mkuu tatizo utaji hilo kabisa ni dhehebu gani.
Kama mtakumbuka mwezi mmoja au miwili iliyopita nilileta taarifa ya kanisa lililojengwa katikati ya barabara na kupiga muziki mkubwa sana masaa 24 mtaa Kariakoo kata ya Kitete.

Baada ya viongozi wa mkoa, wilaya, afisa mipango miji manispaa, mtendaji kata, mwenyekiti wa mtaa, afisa mtendaji wa mtaa kuwaendekeza kwa sababu ya rushwa wamewekwa mfukoni, sasa wameamuia kuiba maji, kujiunganishia maji bila kibali, bila kulipia wala kufuata utaratibu wowote ule, waziri wa maji, ardhi kazi kwenu huku Tabora kuna viongozi wa ajabu sana.

Ninavyoandika wapo wanaendelea na shughuli ya kujiunganishia maji mchana kweupe, Meneja amepigiwa simu anasema atafuatilia wakati watu wapo saiti sasa hivi wanafanya uhalifu, Tabora oyeeeee.
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom