King Kisali
JF-Expert Member
- Nov 20, 2019
- 1,042
- 1,349
Kama mtakumbuka mwezi mmoja au miwili iliyopita nilileta taarifa ya kanisa lililojengwa katikati ya barabara na kupiga muziki mkubwa sana masaa 24 mtaa Kariakoo kata ya Kitete.
Baada ya viongozi wa mkoa, wilaya, afisa mipango miji manispaa, mtendaji kata, mwenyekiti wa mtaa, afisa mtendaji wa mtaa kuwaendekeza kwa sababu ya rushwa wamewekwa mfukoni, sasa wameamuia kuiba maji, kujiunganishia maji bila kibali, bila kulipia wala kufuata utaratibu wowote ule, waziri wa maji, ardhi kazi kwenu huku Tabora kuna viongozi wa ajabu sana.
Ninavyoandika wapo wanaendelea na shughuli ya kujiunganishia maji mchana kweupe, Meneja amepigiwa simu anasema atafuatilia wakati watu wapo saiti sasa hivi wanafanya uhalifu, Tabora oyeeeee.